kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
All the best mkuu.Ukifanikiwa wewe na sisi wapampanaji wa JF tutakuwa karibu ma mafanikio.Bora uendelee kunitakia mwema Dua zako zisikilizwe mambo yazodi kuwa mazuri kwangu na kwako pia, Bahati mbaya Sina vinasaba na Kizimkazi Kwa Sasa ila Kuna baadhi ya mambo tunashirikiana. Si unajua mjini mipango mingi ndugu yangu?
Kuna mmoja alinisimamisha kimakosa siku Moja, akaniambia kwanini naendesha gari na malapa, kimsingi nili overtake sehem sio na speed kubwa Sasa akawa amenipiga mkono. Akasema angalia usiache watoto bila Baba.
Kiroho safi wakati naondoka nikamwachia ten la kiwi Kwa vile alikua muungwana nikaanza kutafuta Ruvu.
Hizi gari bwana zinachonikera ni kutokuwa na sauti yani sipati picha naendesha gari sisikii kelele za Engine.
Kuna siku nilimtembelea jamaa yangu ofisi moja masaki alikuwa anahivi vi Prius asee nimekawasha kako kimya kidogo niwashe tena jamaa akaniwahi kameshawaka endesha tu.Yani husikii kitu kakishika speed ndio unaskia engine.
Sasa kwenye Full EV si tutakuwa tunasinzia barabarani? au wengine kugongwa njiani huko.