Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
- Thread starter
- #61
Niliona siku nikajua anazingua tu, alikua na Toyota BZ4x EV.Mzee Bongo Zozo kashavuta yake na anapeta mtaani hebu watu tuchukue mamuzi.magu tuhudumiane wenyewe,ziletwe gari zipigwe bei tusisubiri wapika pilau la clean energy waje kutusaidia hili jambo.I swear the problem isn't over yet.
Toyota ujanja mwingi ila kwenye EV anaogopa. Wajapan wote EV wanaingia kwa mguu nusu, wengi wanashirikiana na Mchina kufanya maajabu sio wenyewe.