Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Veta wameshaona hii fursa au bado wanang'ang'a macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye viatu 😅😅 mie naendesha nikiwa PEKU kbs.. ndio nakuwa huru.. yaan nikipand tu ktk gari navua viatu naweka pembeni.Bora uendelee kunitakia mwema Dua zako zisikilizwe mambo yazodi kuwa mazuri kwangu na kwako pia, Bahati mbaya Sina vinasaba na Kizimkazi Kwa Sasa ila Kuna baadhi ya mambo tunashirikiana. Si unajua mjini mipango mingi ndugu yangu?
Kuna mmoja alinisimamisha kimakosa siku Moja, akaniambia kwanini naendesha gari na malapa, kimsingi nili overtake sehem sio na speed kubwa Sasa akawa amenipiga mkono. Akasema angalia usiache watoto bila Baba.
Kiroho safi wakati naondoka nikamwachia ten la kiwi Kwa vile alikua muungwana nikaanza kutafuta Ruvu.
Si rahisi kama mnavodhani zile zinahitaji uelewa wa Power electronicsMagari ya UMEME hayana mambo mengi, wale mafundi wa chini ya mwembe utakuwa mwisho wao umefika hata gereji zile kubwa hawatakuwa na mambo mengi zaidi ya kubadilisha kifaa na kufunga kipya.
EV hakuna haja ya kuingia uvunguni kuangalia leakage wala kubadilisha plug,kupima oil, wala kubadilisha cylinder head gasket
Yaah kwa Watu wa Serikalini kuna exemption kwa gari chini ya cc 4k.
EV ni nzuri, mie pia nitatafuta moja ya kutembea nayo mjini.
Ingawa gari za mafuta hasa petrol ni tamu sana unakuwa Engaged kwa kila hatua.
Mfano, nilikataa kutumia gari za Auto kabisa na wala sipatani nazo, leo hii ndio nihamie ktk EV tena unakuta ina Autopilot kbs unalala chuma inaenda yenyewe.. nitaweza mimi kweli..🥺
Unaongelea kitu gani mzee🤣 sio kwa Tesla! Tesla zinatembea mno tena zina quick launch ya ndani ya sekunde 3!Tatizo hizo gari hazina mwendo,wabongo tunapenda kupeleka moto.
Hapa wauza Oil na Plugs watafunga maduka 😂 ndio maana upinzani ni mkali.MAGARI YA UMEME YANAHITAJI MAINTANANCE KIDOGO KULICO MAGARI YA MAFUTA.........SO TUTASAVE SANA
Kama kuondoa kodi ya gari za mtumba tu hawataki itakuwa hizo gari mpya za kisasa? Tusitegemee maajabu kodi lazma zitakuwa kandamizi.Serikali unatakiwa iondoe Kodi ili hizi gari tutumie.kwanza ni rafiki wa mazingira na pili zinaokoa gharama zinazotumika kuagiza mafuta
mkuu.Kama kuondoa kodi ya gari za mtumba tu hawataki itakuwa hizo gari mpya za kisasa? Tusitegemee maajabu kodi lazma zitakuwa kandamizi.
Sasa kilometre laki 4 hadi ifike kwa safari za kazini na nyumbani ni leo? Si almost miaka 20 mbeleni huko. Tuache uwoga mwanzo ilikuwa tunaogopa magari ya mzungu ila naona yule jinamizi tulimvua. Sahizi gari mchanganyiko tu ukienda Masaki, Msasani, Oysterbay unaweza hisi upo Frankfurt ujerumani 🤣Yeah baada ya kilometa atleast 400,000 unatakiwa ubadirishe battery. Itakua imepungua range.
Thank you for the info.Direct Current Super Charger (Level III) zina efficiency ya 99-100% wakati za nyumbani Level I zina efficiency ya 90 na Level II zina efficiency ya 95 kwenda juu. Zote tested under extreme condition.
Na gari za umeme zitakuwa kama appliances tu. Yani kama ambavyo tunabadili simu ama TV. Ikitoka mpya unanunua unaachana na la zamani.Sasa kilometa 400,000 ni leo? Mimi nimenunua gari 2017 na ninaitumia kila siku kwa mizunguko yangu ya mjini. Niliinunua na km 67,000 leo iko 138,000.
Kilometa 400,000 ni miaka angalau 10 - 15 kwa matumizi ya kawaida.
Hakuna IST ya kwenda Dodoma kwa mafuta ya 70kImagine kwa elfu 40 tu unaweza kwenda na kurudi Dodoma ukitokea Dar.
Mfano, ukiwa na Tesla Model 3 yenye battery ndogo kabisa 57.5 kWh (hii ndio battery ndogo ipo kubwa Long Range ila tusiiongelee hapa), inamaana utatumia unit 57.5 tu kuijaza full charge. Na kwa bei ya sasa, unit moja ya umeme ni Tsh 358, so ukizidisha na ukubwa wa battery ni elfu 20!
Na hii model ikiwa full charge inatembea jumla ya kilometa 513. Na distance kutoka Dar hadi Dodoma ni Kilometa 460!
Kwahiyo hapo ushaenda na zinabaki kilometa za kutosha za misele hapo Dom.
So na kurudi hivo hivo, jumla 40.
Mtu, mwenye IST akiiga yeye kwa average fuel consumption ya 20km/L atataka elfu 70 ya mafuta kwenda tu na kurudi ivyo ivyo. Jumla 140,000/=
Mjapan sifa yake kubwa ni kuwa risk-averse kibiashara. Hapendi kujaribu kitu kipya kama hana uhakika, na akianza kitu ujue amejiridhisha. Hivyo sio innovators wakubwa kivile lakini wanatendea haki proven tech.Niliona siku nikajua anazingua tu, alikua na Toyota BZ4x EV. View attachment 3090326
Toyota ujanja mwingi ila kwenye EV anaogopa. Wajapan wote EV wanaingia kwa mguu nusu, wengi wanashirikiana na Mchina kufanya maajabu sio wenyewe.
Unafunga 3 phase inakuwa fast charger.Umeme wa kuchaji upo? Huwezi kuchaji na huu umeme wa nyumbani.
Mkuu hata sisi piaTatizo serkali yetu ina roho mbaya. Kingine ni hatuna mafundi
Mchina kwa kucopy tu anatuokoa sana, tumpe muda zaidi atakuja na kitu kizuri hasa kwetu sisi huku dunia ya tatu.Mchina anatengeneza EV za hatari. Kwa Sasa magari yake yamekua tishio US. Ameingia makubaliano na Volvo kutengenezwa EV ikijumuisha Hybrid. Wale jamaa watatuokoa sana.