Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Unampa gamba dingi akalitunze kabatini unamwomba ada tena ya kusoma kipenda rohoYupo sahihi
Hebu sema tena tusikie ,, degree ngapi ?Mimi mwenyewe nilisoma sana kuwaridhisha wazazi. Nina digrii tatu ila hivi sasa ni dereva.
Inakusumbua nini wakati muda ni wake?Huyu kijana ni Mkenya, graduate wa Education. Anasema alisoma education kwa kumridhisha mzazi wake tu. Kamaliza kapewa certificate yake kumkabidhi mzazi wake na yeye anataka aanze safari ya kutafuta cheti kingine.
Kwa mujibu wa video hii hiii cheti cha Education kitabaki kama kumbukumbu tu.
Mimi nawaza miaka aliyoipoteza.
View attachment 3105484