Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.

Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.

Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "

Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.

Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"

Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu

GunFire
Kilichokuuma ni "papuchi" kuliwa au "kucheat?" Kungekuwa na lakiri (seal) ungeumia saana.
 
Kama kichwa cha habari kilivyo, ila sio kweli labda huyo wa kwako!
View attachment 1421697
Na sijutii hadi sanitizer napewa buree[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Na mengine pia hayana bei
 
Kuna ambaye nmepanga nae sehem moja,analo kalio kuuubwa cjui ndo wanaita
wowowoooo,bac yy n kupitisha tu wanaume ndan,leo mfupi kesho mrefu,juz kat kaanza tabia za kunitega tega na hilo kalioo,nkaweka ngumu maana najua kodi ya pango inaisha na huk alikuja kusoma xo hela ya kodi anadanga na salary yake ndo analipia fee
 
Sawasawa na kuoa mtu wa sales. Atakwambia nipo kwa mteja sasa sijui kila siku utauliza wa kike au wa kiume?

Bado nawaza tu nipate mwalimu mambo yasiwe mengi
 
Niliwahi kuwa na mmoja, aisee hawa manesi wanapigwa sana, yaani dada alikua malaya yule, daah! yaani madereva wa magari ya hospitali, walimu, bodaboda, watendaji wa vijiji, kata n.k
Halafu mtu anakua anataka ndoa, sijui huwa wanadhani wanaume wote hatujui mke ni nani na mwanamke wa kuzalishwa tu ni yupi.
Kwakweli kama una mke ni nesi au daktari, wafanyakazi wenzake wanakudharau sana kwa yale wanayojua anayafanya,mlemle hospitalini na nje ya hospitali.
Ni wachafu sana hao wanawake na wanaua wanaume wasiowajua kiundani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawasawa na kuoa mtu wa sales. Atakwambia nipo kwa mteja sasa sijui kila siku utauliza wa kike au wa kiume?

Bado nawaza tu nipate mwalimu mambo yasiwe mengi
Walimu wana unafuu sana, ndiyomaana hata wanasiasa wengi wanakimbilia huko, japo baadhi yao siyo waaminifu sana, ila wana unafuu, wanalinda maadili.
Lakini manesi,nina ekspiriensi nao sana, kuanzia ndugu zangu wa kike hadi mademu zangu na mademu wa marafiki zangu, nimekulia kotazi za watu wa afya, manesi ni wahuni sana, usisikilize ilewanasema eti 'NI TABIA YA MTU TU', hiyo ni kujisafisha tu uingie KING, wachafu sana hao, na nadhani ndiyo wanaongoza kufanya mapenzi maofisini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom