Ukiwa na mapesa unaweza kununua kila kitu, isipokuwa mambo haya

lakini pia unaweza kununua saa lakini huwezi muda,na pia unaweza kununua kitanda lakini huwezi kununua usingizi!!
 
Kwa ambao wamewahi shika pesa za kutosha ama ambao wanapesa tayr, wanakuelewa point Yako, ila Hawa masikini wa jf hawawezi kukuelewa mkuu
Well said, Mkuu. Kuna mmoja amesema akisikia mtu anaisema vibaya pesa, anatetemeka kwa hasira. Bahati mbaya pesa haiwezi kuondoa hasira ya mtu. Tunaishinda hasira kwa neema ya Yesu tu.
 
Hiyo #8 wapumbaf wengi wanadhani baraka za Mungu zinanunuliwa kwa mlungula.

Jenga makanisa kwa fedha za ufisadi ama rushwa, toa matoleo na sadaka kubwa za kujionesha, chanzo cha mapato ni fedha chafu.

Mungu wanamuumba kwa kumfinyanga kwa utashi wao kuwa Mungu kama binadamu, anahongeka kwa chochote.
 
Na Hata Pesa Haipatikani Kwa Hayo Mambo.
Ukimcha Mungu anaweza kukusaidia kupata pesa. katika Mathayo 17:27 tunasoma habari za Petro. Alikuwa hana pesa ya kulipa kodi. Yesu akamwambia aende kuvua samaki. Ndani ya samaki atakayezuka kwanza atakuta pesa!
 
Ukimcha Mungu anaweza kukusaidia kupata pesa. katika Mathayo 17:27 tunasoma habari za Petro. Alikuwa hana pesa ya kulipa kodi. Yesu akamwambia aende kuvua samaki. Ndani ya samaki atakayezuka kwanza atakuta pesa!
Ndio Vivyo Hivyo Ukiwa Na Pesa Inasaidia Pia Kumcha Mungu
 
Indeed ❤️
Indeed❤️, money is a powerful tool that can solve many earthly problems. However, it cannot buy everything. It can buy a house but not a home, medicine but not health, companionship but not true friendship, luxury but not peace, entertainment but not joy, and power but not salvation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…