Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
ndio, si waona kuta nne hizo?Hii nyumba ya kuishi mtu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio, si waona kuta nne hizo?Hii nyumba ya kuishi mtu?
Ni kweli kabisa mwamba nakubaliNakubali nakubali tuzidi kupambana si bado tunapumua tupambane na jambo ukishasema huwezi haki tena hutoweza kwel
nimechukulia nyumba kwa sababu labda kama mtu hana mpango wa kuwa na familia hapo sawa hata kwenye gari yeye alale tu kuwa na kajengo chako inasaidia sana kwa mfano haupo dunian watoto na mke wako watapata shida ila pakiwepo pa kukaa inasaidia sanaMkuu kwanini umechukulia kuwa nyumba ndio kipimo cha kujitafakari?
Inabidi tuanze kubadili mitazamo yetu sasa. Hivi unajua kuna matajiri wengi sana na ni matajiri haswa ila wananing'inia kwenye magorofa tu ya msajili na nyumba za watu masaki na wana maisha bora mara 1000 yako?
Hii sio nyumba ni kiota sasa
kumbeKujenga nyumba kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Ruvuma,Kigoma na baadhi ya mikoa ambayo wanatumia tofari za kuchoma na kujenga kwa tope sio ishu Sana hasa kupandisha BOMA.
Haina haja hata ya ring beam labda Bati napo unajenga muundo wa darasa hakuna gharama yeyote ya kuumia.
Bado tu umeme wa REA hapaSio swala hata nikimaliza mwendo na hii sote tutakufa tu anyways sote ni wasafiri😅
View attachment 2078521
Watu wanachanganya mitindo ya maisha na namba y kuandaa maisha. Unakuta mtu Yuko bize na kufanyia kazi mawazo ya mama mkwe aliyemfundisha Binti yake amkazie mmewe wajenge huku akipiga hesabu kwamba hata mme akifa bintiye hatarudi kwao maana ana kwake. Mtu anaishia kujenga Hadi anakaribia kustaafu alichonacho ni nyumba halafu ndo anaanza kutafutia biashara za kufanya.Mkuu kwanini umechukulia kuwa nyumba ndio kipimo cha kujitafakari?
Inabidi tuanze kubadili mitazamo yetu sasa. Hivi unajua kuna matajiri wengi sana na ni matajiri haswa ila wananing'inia kwenye magorofa tu ya msajili na nyumba za watu masaki na wana maisha bora mara 1000 yako?
inatakiwa ubalance mamboWatu wanachanganya mitindo ya maisha na namba y kuandaa maisha. Unakuta mtu Yuko bize na kufanyia kazi mawazo ya mama mkwe aliyemfundisha Binti yake amkazie mmewe wajenge huku akipiga hesabu kwamba hata mme akifa bintiye hatarudi kwao maana ana kwake. Mtu anaishia kujenga Hadi anakaribia kustaafu alichonacho ni nyumba halafu ndo anaanza kutafutia biashara za kufanya.
Ipokabisa ila REA cku hz si haipo[emoji112][emoji848][emoji848]
REA itabakia zile sehemu ambazo miundombinu ya umeme haijafika kabisana hizi bei mpya za TANESCO imekaaje hiyo[emoji848][emoji848]
Inabidi kwa kiasi kikubwa sana watu wabadili mitazamo yao aisee.Watu wanachanganya mitindo ya maisha na namba y kuandaa maisha. Unakuta mtu Yuko bize na kufanyia kazi mawazo ya mama mkwe aliyemfundisha Binti yake amkazie mmewe wajenge huku akipiga hesabu kwamba hata mme akifa bintiye hatarudi kwao maana ana kwake. Mtu anaishia kujenga Hadi anakaribia kustaafu alichonacho ni nyumba halafu ndo anaanza kutafutia biashara za kufanya.