Ukiwa na miaka 45 bila nyumba jitafakari

Mkuu kwanini umechukulia kuwa nyumba ndio kipimo cha kujitafakari?

Inabidi tuanze kubadili mitazamo yetu sasa. Hivi unajua kuna matajiri wengi sana na ni matajiri haswa ila wananing'inia kwenye magorofa tu ya msajili na nyumba za watu masaki na wana maisha bora mara 1000 yako?
nimechukulia nyumba kwa sababu labda kama mtu hana mpango wa kuwa na familia hapo sawa hata kwenye gari yeye alale tu kuwa na kajengo chako inasaidia sana kwa mfano haupo dunian watoto na mke wako watapata shida ila pakiwepo pa kukaa inasaidia sana
 
Kujenga nyumba kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Ruvuma,Kigoma na baadhi ya mikoa ambayo wanatumia tofari za kuchoma na kujenga kwa tope sio ishu Sana hasa kupandisha BOMA.

Haina haja hata ya ring beam labda Bati napo unajenga muundo wa darasa hakuna gharama yeyote ya kuumia.
 
kumbe
 
Mkuu kwanini umechukulia kuwa nyumba ndio kipimo cha kujitafakari?

Inabidi tuanze kubadili mitazamo yetu sasa. Hivi unajua kuna matajiri wengi sana na ni matajiri haswa ila wananing'inia kwenye magorofa tu ya msajili na nyumba za watu masaki na wana maisha bora mara 1000 yako?
Watu wanachanganya mitindo ya maisha na namba y kuandaa maisha. Unakuta mtu Yuko bize na kufanyia kazi mawazo ya mama mkwe aliyemfundisha Binti yake amkazie mmewe wajenge huku akipiga hesabu kwamba hata mme akifa bintiye hatarudi kwao maana ana kwake. Mtu anaishia kujenga Hadi anakaribia kustaafu alichonacho ni nyumba halafu ndo anaanza kutafutia biashara za kufanya.
 
inatakiwa ubalance mambo
 
Inabidi kwa kiasi kikubwa sana watu wabadili mitazamo yao aisee.

Kuwa na nyumba ni sawa lakini sio ndio kila kitu! Ukiweza kuwa na wealth sehemu ya kukaa sio tatizo kabisa kwako, kwa familia yako hata ukifa
 
Back
Top Bottom