ISIYO NA STRESSMkuu apate 100k kwa mwezi???
ISIYO NA STRESSMkuu apate 100k kwa mwezi???
Ni sahihimil 10 haitoshi kwenye pharmacy labda duka la dawa la kawaida
Hebu fafanua kwenye mziki.Milioni tano na wekeza kwenye MZIKI tano inakaa benki
Utakuwa sahihi endapo kama uliwekeza million 5 Kisha ukapata million 6-7 kwa Kila kiwanja au ukauza kwa 6m vingenevyo ni ubatili ila kufungua biashara ni wazo zuri linakusaidia kuendesha maishaKwahiyo kama nafanya kazi na mshahara wangu ni 650k kwa mwezi na nilipopata hiyo 10M nilinunua viwanja 2 kwa 5M kila kimoja huko kibaha, nikabakiwa sina kitu
So far bado sina pesa na nilinunua mwez may mwaka huu,
Mwez november nataka kuacha kazi na lengo niuze kiwanja kimoja nipate pesa ya mtaji
Je niko sahihi maana nahisi kuchanganyikiwa
Sasa sina uhakika kuhusu kupata mtejaUtakuwa sahihi endapo kama uliwekeza million 5 Kisha ukapata million 6-7 kwa Kila kiwanja au ukauza kwa 6m vingenevyo ni ubatili ila kufungua biashara ni wazo zuri linakusaidia kuendesha maisha
Utakuwa sahihi endapo kama uliwekeza million 5 Kisha ukapata million 6-7 kwa Kila kiwanja au ukauza kwa 6m vingenevyo ni ubatili ila kufungua biashara ni wazo zuri linakusaidia kuendesha maisha
SawaUtakuwa sahihi endapo kama uliwekeza million 5 Kisha ukapata million 6-7 kwa Kila kiwanja au ukauza kwa 6m vingenevyo ni ubatili ila kufungua biashara ni wazo zuri linakusaidia kuendesha maisha
Weka pesa yote simba na yanga watashinda mechi zao za leo. Utavuna 50m. Hapo tayari una mataji wa pharmacy, hardware na viwanja viwili.Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara ??
Kama Kuna jambo ungelisema hapahapa kaka ili tufahamu kwanza Lina husu Nini alafu mamboengine yafuate ni jambo jema kaka zungumza hapa mkuu, feel sorry sanaWewe ni mwanamuziki kaka?
Kama ni mwanamuziki naomba mawasiliano yako PM tafadhali.
Usiwaze kaka mi msanii ndo mana nataka niboreshe kazi YANGU mkuu, fear notHebu fafanua kwenye mziki.
Mkopo?Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara ??
Viwanja vyako vina ukubwa gani, unauza bei gani?Sasa sina uhakika kuhusu kupata mteja
Ya mwamposa tenaToa kwanza milioni 5 ya mwamposa utakuja kunitafuta
Uza kiwanja anza Side hustle kabla ya kuacha kazi kwanza kama utaweza kukaa miezi 6 bila kutegemea mshahara hata cent 5 tu then ongeza miezi 6 mingine ukiona bado ipo sawa basi acha kazi sasaKwahiyo kama nafanya kazi na mshahara wangu ni 650k kwa mwezi na nilipopata hiyo 10M nilinunua viwanja 2 kwa 5M kila kimoja huko kibaha, nikabakiwa sina kitu
So far bado sina pesa na nilinunua mwez may mwaka huu,
Mwez november nataka kuacha kazi na lengo niuze kiwanja kimoja nipate pesa ya mtaji
Je niko sahihi maana nahisi kuchanganyikiwa