Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

Haha mkuu umenasa hapo. Mimi ningeenda hardware poa kabisa maana na 10m unaweza kuanza na vitu vya msingi tu rangi, misumari, saruji ndogo ndogo zinauzika kila siku. Pharmacy inahitaji vifaa na dawa ghali, kiwanja ni poa lakn faida yake ni long-term. Anza hardware, ukiingiza hela kidogo kidogo ndo ununue kiwanja kama backup. Siku hizi kila mtu anajenga, hardware haina kufa kweli. bana
 
Kwahiyo kama nafanya kazi na mshahara wangu ni 650k kwa mwezi na nilipopata hiyo 10M nilinunua viwanja 2 kwa 5M kila kimoja huko kibaha, nikabakiwa sina kitu

So far bado sina pesa na nilinunua mwez may mwaka huu,

Mwez november nataka kuacha kazi na lengo niuze kiwanja kimoja nipate pesa ya mtaji

Je niko sahihi maana nahisi kuchanganyikiwa
Unaacha kazi kwanini?
 
Kama Kuna jambo ungelisema hapahapa kaka ili tufahamu kwanza Lina husu Nini alafu mamboengine yafuate ni jambo jema kaka zungumza hapa mkuu, feel sorry sana
Mimi nina mpango wa kuanza muziki pia mwanzoni mwa mwaka ujao so nilitaka tubadilishane contacts kwa ajili ya kupigana tafu hapa na pale kwenye masuala yetu ya muziki.
I am a songwriter,singer and a bit dancer too.
 
Back
Top Bottom