Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

Sifanyi mziki kuongoza au kutoboa hivo basi sioni haja kufanya ulozi, mtu AKITAKA atasikiliza akiona no basi mwenyezi MUNGU ndio mtoa riziki kaka
Safi kama ni passion tu ni vizuri basi nakushauri pia jifunze production ili kuepuka gharama za ku record pia itakuza sana uwezo wako, Anza kuwekeza mdogo mdogo kwenye soundcard na mic. Ukiiva inaweza ku stream ya income pia
 
Basi kaka nakuhitaji sana kwenye safari yangu kama umeonesha kia muelewa na kutoa sulihisho basi ni jambo jema kaka nakuhitaji sana kuhusu recording ni gharama hivo mambo mengine inabidi kufanya mwenyewe mfano video production hili nazani kila mtu huenda anaweza mtiti ni sound mixing na kuhonga beat au labda ni simple mkuu
 
Kwahyo famasi niandae ngapi mkuu na je itanilipa?
Mkuu kama unataka kufanya hii biashara isajili kama pharmacy (kwa sababu ukisajili kama duka la dawa muhimu....utakuwa limited, kuna dawa utashindwa kuuza na ndo zinatoka kwa wingi) then inject hiyo milioni kumi kwenye dawa na uuze kwa retail price, faida utakayopata utaitumia kuongeza mtaji wa Pharmacy yako......maana biashara ya dawa za binadamu faida yake ni mara mbili mpaka tatu ya bei halisi ya dawa. Ukiwa serious kwa huo mtaji wako wa 10M na ukaweka wote kwenye dawa na zikatoka zote basi batch ya pili unanunua dawa za 20M. I am speaking from experience, nilishawahi kuuza duka la dawa kipindi najitafuta....kwenye vibali tu ndo papo tight ila ukitoboa kwenye vibali na location basi umeula.
 
Umenipa moyo sana mkuu sasa kuhusu vibali naanzia wapi?
 
Basi kaka nakuhitaji sana kwenye safari yangu kama umeonesha kia muelewa na kutoa sulihisho basi ni jambo jema kaka nakuhitaji sana kuhusu recording ni gharama hivo mambo mengine inabidi kufanya mwenyewe mfano video production hili nazani kila mtu huenda anaweza mtiti ni sound mixing na kuhonga beat au labda ni simple mkuu
Pamoja Mkuu, anytime karibu 🤝
 
Nanunua ndama 20@500,000, kisha nawafuga kwa miezi nane(8), na kisha kuwapiga bei.

Kwa machaguo ya uwekezaji, labda UTT AMIS kwenye hati fungani.
 
Wadau siyo vzr kuanzisha maada tofauti kwenye uzi wa mtu, lakini naomba maelekezo kuhusu hizi guta za kichina zinazotumia umeme bei zake na ustahimilivu wake pamoja na changamoto zingine na kama kuna maelekezo ya ziada yatanifaa zaidi! asante
 
Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi?

Kufungua pharmacy au duka la hardware au kununua kiwanja? Kipi bora?

Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara?
Mimi natafuta Mbususu ya Niffer nimkule nimuibie nyota ya Biashara haiwezekani ndani ya miezi 4 ana Jet Tour ya Milioni 700 na Laki 8 na Range Rover Vogue ya Milioni 800.

Jumla Bilioni 1.5

Huyu anahitajika kuibiwa nyota haraka Sana Kwa njia ya ngono zembe na kumla kisamvu kwa Milioni 10 baada ya hapo na Mimi nakuwa Bilionea
 
Kaka nilitaka elimu kidogo kujifunza kurekodi mwenyewe mana laptop ninayo Nisha NUNUA beats tachukua zilizo tengenezwa tayari
Hapo sawa unatumia sites gan? Beatstars? Hakikisha unatumiwa licensing, stems na Kila kitu usi download beat YouTube na kurekodi. Then kujifunza kurekodi rahisi kabisa ni YouTube ndio chuo kikubwa kwa gharama nafuu sishauri ujifunze kwa mtu.

Side note kama unafatilia tasnia ya muziki by 2030 itakua almost dead, huku nilipo ile Ngoma ya Let me Be ya amapiano inagongwa hakuna mfano kwenye clubs na radios, mi chico ya Jason Derulo, rubberz ya Fenix, papa outae (afro soul)! Jamii inakubali mdogo mdogo AI music.. by 2040 tasnia itakua imekufa kilichobaki sasa ni ile connection tu ya mtu ku perform live na wata figure out soon. So to make music now ni uwe na passion haswa it's going extinct.
 
Asee kaka AI inaenda kutu poteza soon mkuu let me be, hiyo Ngoma nimeona challenge zake kibao, TikTok balaa sana
 
Huo ndo ukweli na ai inatoa ngoma kalii sio poa, niliona ngoma moja kwenye status ya jamaa yang nikailewa sana kucheki tu kumbe ai 🤕 "lovixx - don't tell your dreams" Hadi moyo wa kuandika unakufa coz wanatumia sunno ai dakika kadhaa tu nyimbo ime generate kwanzia sound, mixing Kila kitu
 
Back
Top Bottom