ELITE POWER
Member
- May 19, 2021
- 65
- 104
Sijaanza rasmi kutumia Instagram kwasasa natumia Whatsapp pekee....ila nitafungua accounts huko siku sio nyingi.
Nitumie Instagram Yako dm nikicheki bobKwasasa nipo Morogoro ila mwezi October mwaka huu nitakua Dar es salaam.
Duh MSANI unakosa ac insta kaka, kweli anyway poapoaSijaanza rasmi kutumia Instagram kwasasa natumia Whatsapp pekee....ila nitafungua accounts huko siku sio nyingi.
Uzi ufungweUza kiwanja anza Side hustle kabla ya kuacha kazi kwanza kama utaweza kukaa miezi 6 bila kutegemea mshahara hata cent 5 tu then ongeza miezi 6 mingine ukiona bado ipo sawa basi acha kazi sasa
Famasia wote waliojaa mtaani ndio umlipe laki 9?Pharmacy ya 10?? Walau 20M+, Pia kuwa makini kabla hujafungia pharmacy kumbuka utatumia cheti cha mfamasia na utatakiwa kumlipa 900k- 1M kila mwezi
Mimi ningekushauri hiyo hela nenda katavi huko ukalime hata Kwa Ng,ombe
Usiache kazi. Kuza mtaji ukiwa kazini.Kwahiyo kama nafanya kazi na mshahara wangu ni 650k kwa mwezi na nilipopata hiyo 10M nilinunua viwanja 2 kwa 5M kila kimoja huko kibaha, nikabakiwa sina kitu
So far bado sina pesa na nilinunua mwez may mwaka huu,
Mwez november nataka kuacha kazi na lengo niuze kiwanja kimoja nipate pesa ya mtaji
Je niko sahihi maana nahisi kuchanganyikiwa
Kama ipi?Ardhi ni nzuri ukiwa tayari una passive income nyingine.
Yanaitwa maduka ya dawa muhimu (DLDM) milion 10 inatosha na chenchi ya kutosha inabaki . Lakini sio pharmacy ya retail au wholesaleKama una vigezo vyote vya kufungua duka na utakwepo muda wote basi nakushauri anza na mini pharmacy/duka la dawa...kuna faida kubwa sana kwenye hiyo biashara ila tafuta location yenye demand na huduma unayotoadawa .
Kwahyo famasi niandae ngapi mkuu na je itanilipa?Yanaitwa maduka ya dawa muhimu (DLDM) milion 10 inatosha na chenchi ya kutosha inabaki . Lakini sio pharmacy ya retail au wholesale
Yoyote as long as iwe passive income kama nilivyo sema.Kama ipi?
Inategemea na location andaa kama 40m , mtaji mkubwa sio shida sana siku hizi wauza dawa za jumla wanakopesha utawalipa namna mtakavyokubaliana.Kwahyo famasi niandae ngapi mkuu na je itanilipa?
Ngoja nijipange moja ya ndoto zangu ni kumiliki famasi japo sijasomea issue za madawaInategemea na location andaa kama 40m , mtaji mkubwa sio shida sana siku hizi wauza dawa za jumla wanakopesha utawalipa namna mtakavyokubaliana.
Kwani mkuu kuna kigezo cha mtaji kwenye kufungua biashara ya Pharmacy?Yanaitwa maduka ya dawa muhimu (DLDM) milion 10 inatosha na chenchi ya kutosha inabaki . Lakini sio pharmacy ya retail au wholesale
Hii biashara kama huna uvumilivu wa kulala chaka to chaka ni bora usifanyeVipi biashara ya kuuza nafaka watu lazima tule kila siku
Mbona unajibu kwa nyodo utafikiri ushatoboa? Huyo underground mwenzio anataka ku link unaleta poozi na we tuma IG yako tuone kama una potential tuwekeze pesa ss.Nitumie Instagram Yako dm nikicheki bob
Duh MSANI unakosa ac insta kaka, kweli anyway poapoa
Duh, hapo nyodo ipo wapi? Alafu mkuu samahan sihitaji hela ya mtu kwenye MZIKI wangu mana naona kama inataka kuwa fimbo ya kunipigia, SIPO tayari kaka asanteMbona unajibu kwa nyodo utafikiri ushatoboa? Huyo underground mwenzio anataka ku link unaleta poozi na we tuma IG yako tuone kama una potential tuwekeze pesa ss.
Janja mziki kibongo bila ulozi na ka kuuza roho hujatoboa, ni Dunia ingine kabisa hiyo amini kwambaDuh, hapo nyodo ipo wapi? Alafu mkuu samahan sihitaji hela ya mtu kwenye MZIKI wangu mana naona kama inataka kuwa fimbo ya kunipigia, SIPO tayari kaka asante