Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

Asee kaka AI inaenda kutu poteza soon mkuu let me be, hiyo Ngoma nimeona challenge zake kibao, TikTok balaa sana
Sema nini binadam atabakia unique tu, hisia zako, pain, joy utakayoweka kwenye ngoma itatofautisha tu real music na bado kwenye ku perform ndio ai itakawia ku catch up coz watu wanataka real performer na ile real struggle hatua mtu una share na fans vlogs nn ndo kitu kimebaki kwa ss
 
Asee kaka nilitaka walau MWEZI wa kumi nitoe Ngoma lakini bado na maswali ana kuhus kupata airtime, promo, unajua sisi wasanii tunao chipukia ukitoa Ngoma tatu zisiende on air tuna kataa tamaa hapo hapo sababu uwekezaji gharama za kifanya MZIKI tuna zibeba wenyewe hii inakula ngumu sana kujisimamia
 
Ndio linapokuja swala la passion sasa, Kuna makabrasha mengi sana tusiharibu Uzi wa watu pm kwa ushauri zaidi. Kwa ss anza kujenga ka fan base kama kuna kilinge, sijui unaimba au kuchana, lounge za karaoke, show za club msanii akija unaomba kumfungulia show, anza mahala Kila la kheri ✌️
 
Kunachaka fulani hv nikiwa na 14m ningefungua min depo la bia naamin ingekuw mchngo sana. Jpo biashara znamamb mengi
 
Shida umelimit tusikushauri zaidi.
Habari Mkuu. Kama una ushauri zaidi funguka tu kiongozi. Wengi tunafuatilia ushauri unaopatikana ktk uzi huu. Vichwa vishachoka kufikiri. Tunatafuta ufahamu mpya na kuntu kutoka kwa watu wenye weledi na elimu mbalimbali
 
Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi?

Kufungua pharmacy au duka la hardware au kununua kiwanja? Kipi bora?

Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara?
Kiwanja unanunua cha nini? Ukiwa na sababu ndo utaamua kuwa uwekezaji au biashara.
HAkuna nitakachochagua
 
Kunachaka fulani hv nikiwa na 14m ningefungua min depo la bia naamin ingekuw mchngo sana. Jpo biashara znamamb mengi

Chaka lipi hilo mkuu?
Je kuna bar/grocery/vilabu vya kutosha maeneo ya karibu, wanapata wapi bidhaa kwa sasa na kwa bei gani?

Means of transport ikoje, katika kupata stock na kusambaza?

Je kuna utofauti wowote wa bei kati ya mjini kuliko changamka na huko mbwinde/mgodini?
 
Kama una vigezo vyote vya kufungua duka na utakwepo muda wote basi nakushauri anza na mini pharmacy/duka la dawa...kuna faida kubwa sana kwenye hiyo biashara ila tafuta location yenye demand na huduma unayotoadawa .
Uendeshwaji wa maduka ya dawa ni mgumu sana.
 
Back
Top Bottom