G
guest-1788672427
Guest
- Thread starter
- #41
Duka la dawaDuka la dawa au pharmacy tumia akili
Duka la dawaDuka la dawa au pharmacy tumia akili
Kimoja na sq merter 500 na point zake na kingine kina sq merter 600 na point zakeViwanja vyako vina ukubwa gani, unauza bei gani?
DuhWeka pesa yote simba na yanga watashinda mechi zao za leo. Utavuna 50m. Hapo tayari una mataji wa pharmacy, hardware na viwanja viwili.
10m inayobaki iweke UTT AMIS bond fund.
SawaUza kiwanja anza Side hustle kabla ya kuacha kazi kwanza kama utaweza kukaa miezi 6 bila kutegemea mshahara hata cent 5 tu then ongeza miezi 6 mingine ukiona bado ipo sawa basi acha kazi sasa
Pharmacy, ukiwa na nidhamu ya pesa utatoboa.Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara ??
Naishi nyumba ya mwenye nyumba ni mpangaji na wazazi wako na makazi yaoMkopo?
Urithi?
Akiba?
Mgawo?
Una pa kuishi?
Wazazi wanapo pa kuishi?
Umewahi kufanya biashara?
Lina pesa sana ila nenda vijijini na wahudumu wako wawe na akiliDuka la dawa
Mimi ningechagua hardware. Inaweza kuleta cash flow haraka, huku ukijenga mtaji. Kiwanja ni kizuri kwa muda mrefu, pharmacy ina masharti mengi. Hardware ndiyo bora kwangu.Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara ??
Kama huna anayekutegemea na uko tayari kuchukua risk, fanya biashara ambayo una uzoefu nayo.Naishi nyumba ya mwenye nyumba ni mpangaji na wazazi wako na makazi yao
Ni kweli kabisa lakini nilishakosea,duka la hard ware ndiyo ndoto yanguMimi ningechagua hardware. Inaweza kuleta cash flow haraka, huku ukijenga mtaji. Kiwanja ni kizuri kwa muda mrefu, pharmacy ina masharti mengi. Hardware ndiyo bora kwangu.
Basi usiache hiyo ndoto. Kama hardware ndiyo ndoto yako, hiyo 10M ingewekwa kwenye hardware kwa mpango mzuri kuliko kununua kiwanja bila mpango wa matumizi. Muhimu ni kuanza kwa kiwango kinachoweza kukua.Ni kweli kabisa lakini nilishakosea,duka la hard ware ndiyo ndoto yangu
SawaKama huna anayekutegemea na uko tayari kuchukua risk, fanya biashara ambayo una uzoefu nayo.
10M ni pesa ndogo ikiwa kwenye account.
Mkuu,Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara ??
SijakuelewaMkuu,
Yani umenichukulia poa kabisa kuwa sina 10m leo?
Yani umeniuliza "ukiwa na 10m leo..." kama vile sina 10m leo.Sijakuelewa