Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,564
- 3,279
Sema nini binadam atabakia unique tu, hisia zako, pain, joy utakayoweka kwenye ngoma itatofautisha tu real music na bado kwenye ku perform ndio ai itakawia ku catch up coz watu wanataka real performer na ile real struggle hatua mtu una share na fans vlogs nn ndo kitu kimebaki kwa ssAsee kaka AI inaenda kutu poteza soon mkuu let me be, hiyo Ngoma nimeona challenge zake kibao, TikTok balaa sana
Asee kaka nilitaka walau MWEZI wa kumi nitoe Ngoma lakini bado na maswali ana kuhus kupata airtime, promo, unajua sisi wasanii tunao chipukia ukitoa Ngoma tatu zisiende on air tuna kataa tamaa hapo hapo sababu uwekezaji gharama za kifanya MZIKI tuna zibeba wenyewe hii inakula ngumu sana kujisimamiaSema nini binadam atabakia unique tu, hisia zako, pain, joy utakayoweka kwenye ngoma itatofautisha tu real music na bado kwenye ku perform ndio ai itakawia ku catch up coz watu wanataka real performer na ile real struggle hatua mtu una share na fans vlogs nn ndo kitu kimebaki kwa ss
Ndio linapokuja swala la passion sasa, Kuna makabrasha mengi sana tusiharibu Uzi wa watu pm kwa ushauri zaidi. Kwa ss anza kujenga ka fan base kama kuna kilinge, sijui unaimba au kuchana, lounge za karaoke, show za club msanii akija unaomba kumfungulia show, anza mahala Kila la kheri ✌️Asee kaka nilitaka walau MWEZI wa kumi nitoe Ngoma lakini bado na maswali ana kuhus kupata airtime, promo, unajua sisi wasanii tunao chipukia ukitoa Ngoma tatu zisiende on air tuna kataa tamaa hapo hapo sababu uwekezaji gharama za kifanya MZIKI tuna zibeba wenyewe hii inakula ngumu sana kujisimamia
Kwa mwaka.....sio kwa mwezi kwa mwezi ni 10kMkuu apate 100k kwa mwezi???
Habari Mkuu. Kama una ushauri zaidi funguka tu kiongozi. Wengi tunafuatilia ushauri unaopatikana ktk uzi huu. Vichwa vishachoka kufikiri. Tunatafuta ufahamu mpya na kuntu kutoka kwa watu wenye weledi na elimu mbalimbaliShida umelimit tusikushauri zaidi.
Kiwanja unanunua cha nini? Ukiwa na sababu ndo utaamua kuwa uwekezaji au biashara.Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi?
Kufungua pharmacy au duka la hardware au kununua kiwanja? Kipi bora?
Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara?
Kwa mwaka ni milioniKwa mwaka.....sio kwa mwezi kwa mwezi ni 10k
Kwa hardware ndiyo kabisa, ni kidogo mno hiyomil 10 haitoshi kwenye pharmacy labda duka la dawa la kawaida
Utaniuzia mimi, kama vimekaa vizur vyote nikupe 11MSasa sina uhakika kuhusu kupata mteja
Kiasi gani hutosha hardwareKwa hardware ndiyo kabisa, ni kidogo mno hiyo
Kunachaka fulani hv nikiwa na 14m ningefungua min depo la bia naamin ingekuw mchngo sana. Jpo biashara znamamb mengi
Angalia nilipo boldUkiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi?
Kufungua pharmacy au duka la hardware au kununua kiwanja? Kipi bora?
Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara?
Uendeshwaji wa maduka ya dawa ni mgumu sana.Kama una vigezo vyote vya kufungua duka na utakwepo muda wote basi nakushauri anza na mini pharmacy/duka la dawa...kuna faida kubwa sana kwenye hiyo biashara ila tafuta location yenye demand na huduma unayotoadawa .