safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Hao ni wanawake visirani,ogopa sana aisee.Safi, nawatabiria kudumu kwenye ndoa yenu sana, maana nwanamke kutokasirika hovyo hovyo huleta furaha sana kwenye mahusiano
Ila nilichogundua ndoa haitakiwi maisha yake kuyachukulia siriaz sana kwamba ndo mume tenaaa.
Ila mkiishi kama washkaji au marafiki ni jambo jema sana,