walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,553
Yap wife wang hana shida kikubwa unaangalia alafu unayaacha palepale aina madhara kwakeka nimuelewa sio shida sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap wife wang hana shida kikubwa unaangalia alafu unayaacha palepale aina madhara kwakeka nimuelewa sio shida sana
Haswaaa labda wengine ila kwa Kasie, gharama inapanda kila uchao.😂😂😂Kumbe mnuno una gharama zake😂😂😂
saivi sirudii kufanya vile maana unaeza ninyima apple
Mkuu ulitakiwa kutufunza jinsi ya kuangalia bila kua noticed na wapenzi wetu, kuna siku nilikua na mpenzi wangu pale stand ya kivukoni, magari ya tegeta kivukoni yanapopaki, kuna dada mmoja hivi nafikiri alikua hayuko sawa kichwani, niliambiwa tu mpenzi wangu mambo aliyokua anafanya na na baadhi ya maneno nilisikia aliyokua anaongea aisee nilishindwa kugeuka nyuma kabisa japokua akili ilikua inaniambia angalia uone.
Mimi ikipita pisi Kali lazima niangalie kwa timingNatumai hamjambo wananzengo.
Wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home.
Tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo unamkosea heshima na kugeuka kutizama wanawake wengine, je ningefanya hivo kwa wanaume wapitao ungependezwa? sio siri umenikwaza sana"
Ilinibidi nijishushe na kuomba samahani yaishe, nawaasa nanyi wakuu muwapo na wake zenu jizuieni kupepesa macho msije wakwaza bure.
kwaakili sanaMimi ikipita pisi Kali lazima niangalie kwa timing
mkuu kuna pisi bila kuangalia mara mbili mara 3 hujaridhika hadi timing unaweza sahauMimi ikipita pisi Kali lazima niangalie kwa timing
unajikaza tu ajili ya mwenza maana hata chafya ukiwa mbele za watu huwezi ipga direct lazima utaangalia namna nzuri ili usiwakere wengneHiyo kitu ni ngumu sana kuiepuka.... Huwa ni automatically kama kupiga chafya.
hii mbinu nzuri hasa ukishindwa jizuia kugeukaHapo ulikosea kitu kimoja kikubwa sana, ikiwa utakamatwa hivo sema maneno yaha kwa mkazo, ninashukuru mke wangu hauvai mavazi yasiyo na staha kama yule, hana heshima na anamshushia heshima mumewe. Anaonekana kituko njia nzima. Twende zetu mke wangu mzuri ukale mbuzi katoriki. Hapo umemaliza kabisa
au ukikutwa unasindikiza hiyo mambo na wife usipanick kwasababu atakuwa anakuangalia reaction yako so unachotakiwa ni utikise kichwa kwa huzuni atakuuliza nini,mwambie umechoka na hii dunia na mwambie kwa kuona yasiyo mpendeza munghii mbinu nzuri hasa ukishindwa jizuia kugeuka
mkuu naona we ni mtaalam wa hizi mamboau ukikutwa unasindikiza hiyo mambo na wife usipanick kwasababu atakuwa anakuangalia reaction yako so unachotakiwa ni utikise kichwa kwa huzuni atakuuliza nini,mwambie umechoka na hii dunia na mwambie kwa kuona yasiyo mpendeza mung
Daah nimemkumbuka x Siku moja tulikua kituoni tunasubiri daladala basi ikapita pisi kalii nikamsukuma kdogo kimbea na mkono nikashangaa akanyanyua uso kuangalia kulikoni!!! Sikutegemea nilidhani nikimpush kimbea ataniangalia usoni.Natumai hamjambo wananzengo.