Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

natumai hamjambo wananzengo.

wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home.

tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo unamkosea heshima na kugeuka kutizama wanawake wengine, je ningefanya hivo kwa wanaume wapitao ungependezwa? sio siri umenikwaza sana"

ilinibidi nijishushe na kuomba samahani yaishe, nawaasa nanyi wakuu muwapo na wake zenu jizuieni kupepesa macho msije wakwaza bure.
Sioni kosa hapo
 
Nilikuwa na huyu babe nilimzoea sana, nakuwa huru sana nikiwa nae.., tukiwa misele nikaona mdada ana mshepu wake uwa namshtua namwambia aangalie uumbaji wa sir God.....basi anacheeeka mwenyewe, sometimes ananitania nikamuombee namba na mimi namtania kausha kuna UTI sugu pale
kwa hiyo hata kwa mume unaweza fanya hivo mkuu?
 
tatizo la macho si lazima uangalie,unaweza kujikuta tu ushaona na akili ikatulia hapo, muhimu ni kujifunza jinsi yakujitetea.
natumai hamjambo wananzengo.

wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home.

tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo unamkosea heshima na kugeuka kutizama wanawake wengine, je ningefanya hivo kwa wanaume wapitao ungependezwa? sio siri umenikwaza sana"

ilinibidi nijishushe na kuomba samahani yaishe, nawaasa nanyi wakuu muwapo na wake zenu jizuieni kupepesa macho msije wakwaza bure.
 
Ha ha wengine tunauliza mama, niangalie ama nikaze mwendo...anasema "pixel unahitaji maombi", namuambia hata hivyo siyo mambo yangu, fahari ya macho tuu zigo kama hilo na hiki kitambi hatuwezani, anacheka siku imeisha

kwa hapo tayari unakua umepiga ndege 2 kwa jiwe moja, yaani hujamkera na kuangalia umeangalia
 
Naongezea
Ukiwa na wife/mpenzi wako epuka au kuwasifia wanawake wengine mbele yake.
Kuna jamaa yangu aliachwa kisa hii tabia, yupo na mpenz wake lakini akikutana na marafiki zake wa kike ni kuwasifia”umependeza” wakati alietoka nae nyumbani hata hajamsifia.
hii pia si tabia rafiki ukiwa na mke or mpenzi
 
Mweleze mkeo atulizane, wanaume hatununiwi atajitafutia matatizo zaidi.
 
Mweleze mkeo atulizane, wanaume hatununiwi atajitafutia matatizo zaidi.
nilichojifunza katika hili mke anahitaji atesheni yako sana hasa mnapokua mmetoka, kinyume chake utamfanya ajisikie vibaya
 
Back
Top Bottom