- Thread starter
- #41
nami sikujua kama ni kosa bt after hili nimejifunza kitu, mke anahitaji sana attention ya mwenza hasa mnapotokaBora umewakumbusha wenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nami sikujua kama ni kosa bt after hili nimejifunza kitu, mke anahitaji sana attention ya mwenza hasa mnapotokaBora umewakumbusha wenzio
natumai hamjambo wananzengo.
wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home.
tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo unamkosea heshima na kugeuka kutizama wanawake wengine, je ningefanya hivo kwa wanaume wapitao ungependezwa? sio siri umenikwaza sana"
ilinibidi nijishushe na kuomba samahani yaishe, nawaasa nanyi wakuu muwapo na wake zenu jizuieni kupepesa macho msije wakwaza bure.
Wakwangu ananiambiaga "geuka, au kwa vile nipo ndo unapata shida huwez kugeuka" anaongeza "vipi nikuombee namba?"nilichojifunza katika hili mke anahitaji atesheni yako sana hasa mnapokua mmetoka, kinyume chake utamfanya ajisikie vibaya
ukiwa na mwenza bora ukafanya kiutani utani maana anaeza kukufikiria vibayaKwa nini nijizuie it's natural na nisipoangalia nahisi nadaiwa kwa hiyo mwili unaproduce cortisol ambayo si nzuri kwangu.Acha niangalie.
mkeo yupo vizuriWakwangu ananiambiaga "geuka, au kwa vile nipo ndo unapata shida huwez kugeuka" anaongeza "vipi nikuombee namba?"
Yani mi na yeye ni masela maana anaelewa binadamu anajichunga mwenyewe!
Asee wewe una tabia kama ya Ex wangu wa KihindiNilikuwa na huyu babe nilimzoea sana, nakuwa huru sana nikiwa nae.., tukiwa misele nikaona mdada ana mshepu wake uwa namshtua namwambia aangalie uumbaji wa sir God.....basi anacheeeka mwenyewe, sometimes ananitania nikamuombee namba na mimi namtania kausha kuna UTI sugu pale 😆😆
Macho hayana pazia, lakini muwe mnajitahidi kutuliza shingo zenu hizo muwapo na wenzi wenu...
😂😂😂Kumbe mnuno una gharama zake😂😂😂Nikinuna we ninunue kwa hela, niwekee hela kwenye matiti na kitovu, ntakupa tabasamu na vingine. Ila ukirudia tena kunifanya ninune, bei ya kuninunua inaongezeka... kazi kwako.
Huyo mke anashida zake,wengine tunakula kwa macho njia nzima hatuulizwi,sasa wewe hilo nalo ni kosa,sasa ukikutwa na ms utapigwa weweNatumai hamjambo wananzengo.
Wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home.
Tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo unamkosea heshima na kugeuka kutizama wanawake wengine, je ningefanya hivo kwa wanaume wapitao ungependezwa? sio siri umenikwaza sana"
Ilinibidi nijishushe na kuomba samahani yaishe, nawaasa nanyi wakuu muwapo na wake zenu jizuieni kupepesa macho msije wakwaza bure.
Ulifanya vyema kuomba radhi,ila siku nyingine,akikuuliza mwambie namfananisha huyo demu na mdada mmoja alinikopa fedha siku nyingi sana akaingia mitiniNatumai hamjambo wananzengo.
Wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home.
Tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo unamkosea heshima na kugeuka kutizama wanawake wengine, je ningefanya hivo kwa wanaume wapitao ungependezwa? sio siri umenikwaza sana"
Ilinibidi nijishushe na kuomba samahani yaishe, nawaasa nanyi wakuu muwapo na wake zenu jizuieni kupepesa macho msije wakwaza bure.
We ni mwanaume dhaifu..endelea kujishusha mpaka uzameNatumai hamjambo wananzengo.
Wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home.
Tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo unamkosea heshima na kugeuka kutizama wanawake wengine, je ningefanya hivo kwa wanaume wapitao ungependezwa? sio siri umenikwaza sana"
Ilinibidi nijishushe na kuomba samahani yaishe, nawaasa nanyi wakuu muwapo na wake zenu jizuieni kupepesa macho msije wakwaza bure.
kibishi bishi...yes.....huu ndio uanaume.......hahhaahaa.............Umefanya kosa ila umefanya kosa kubwa zaidi kuomba msamaha kwa mkeo, umeshindwa kusema hata “nilikuwa naangalia plate number ya chombo chochote ambacho kilikuwa nyuma yenu kwamba kama unakifananisha na cha fulani”,au kama hamna ungesema nilikuwa nasoma tangazo lile pale kwenye mti.
Hapo hata angekataa story ingebaki wewe kutetea hoja zako ila kuonyesha udhaifu kama huo kwa mkeo anaweza akakushushia heshima.
Sent using Jamii Forums mobile app