Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Aah kuna mitihani mingine sisi kama wanaume hatuiwezi kabisa yani iwe tu kwa kudra za Mungu ila sio kwa uwezo wetu mtihani mmoja wapo ni huo wa kutokutazama Mizigo road
Mwingine ni Kumwaga nje
 
.............Umefanya kosa ila umefanya kosa kubwa zaidi kuomba msamaha kwa mkeo, umeshindwa kusema hata “nilikuwa naangalia plate number ya chombo chochote ambacho kilikuwa nyuma yenu kwamba kama unakifananisha na cha fulani”,au kama hamna ungesema nilikuwa nasoma tangazo lile pale kwenye mti.

Hapo hata angekataa story ingebaki wewe kutetea hoja zako ila kuonyesha udhaifu kama huo kwa mkeo anaweza akakushushia heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna scene hata ukilazimisha udanganye uongo hukataa kabisa, hebu assume mtu mnatembea mmeshikana mikono alafu mbele yenu anapita mtu unageuka mwenzako anakuchora tu alafu ukatae kusudi dah!
 
Aah kuna mitihani mingine sisi kama wanaume hatuiwezi kabisa yani iwe tu kwa kudra za Mungu ila sio kwa uwezo wetu mtihani mmoja wapo ni huo wa kutokutazama Mizigo road
Mwingine ni Kumwaga nje
right bt tuwapo na wenza tujitaidi maana wengine huhisi unaemtizama ndo umemthaminisha kuliko yeye
 
siiku zote mwanamke huipamba dunia...flowers of the world....mie huwa naomba ruhusa kabisa.....hawezi ninyima coz anajua farahi ya macho haifilisi duka.........kuna viumbe kike vimefinyangwa jamani..........hahahahaaaa....kuna jamaa mkewe kamwagia waji ya moto usoni......kisa anapepesa sana...na haishii hapo....
after kumwagia imekuwaje mkuu? malizia stori
 
Sio unageukaa mshingoo woteee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani unaangalia chap imeishaa hiyoo hakuna Mwanamke anaependa kuona unamtamani mwanamke mwingine mbele yakee..!!

Hao wanaosema sijui akuombee na namba deep down maumivu yake anayosikia acha tuu...
right, hata anapokuambia hivo anajitoa tu bt uhalisia wa mambo anaujua kabisa hapendi
 
Hhahha wife ananiambiaga mwenyewe...hujaona au unajikausha kwakua uko na mimi?? Angalia tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niko busy naunganisha doti hapa

Nilikuwa na huyu babe nilimzoea sana, nakuwa huru sana nikiwa nae.., tukiwa misele nikaona mdada ana mshepu wake uwa namshtua namwambia aangalie uumbaji wa sir God.....basi anacheeeka mwenyewe, sometimes ananitania nikamuombee namba na mimi namtania kausha kuna UTI sugu pale [emoji38][emoji38]

Macho hayana pazia, lakini muwe mnajitahidi kutuliza shingo zenu hizo muwapo na wenzi wenu...
 
Sasa kama amebeba mzigo wa kisawasawa nifanyeje na macho hayana pazia? Basi ruksa, hata yeye akiona mwanaume maadamu macho hayana pazia afurahishe tu macho
 
Macho hayana pazia mizigo nacheki kama kawaida japo wife nae ana bonge la mchura sema ndio mambo ya mungu tena kucheki vingine sio dhambi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom