Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Natumai hamjambo wananzengo.

Wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home.

Tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo unamkosea heshima na kugeuka kutizama wanawake wengine, je ningefanya hivo kwa wanaume wapitao ungependezwa? sio siri umenikwaza sana"

Ilinibidi nijishushe na kuomba samahani yaishe, nawaasa nanyi wakuu muwapo na wake zenu jizuieni kupepesa macho msije wakwaza bure.
Ungemkata vibao! Anakukoromeaje hivyo mwamba?
 
Daah nimemkumbuka x Siku moja tulikua kituoni tunasubiri daladala basi ikapita pisi kalii nikamsukuma kdogo kimbea na mkono nikashangaa akanyanyua uso kuangalia kulikoni!!! Sikutegemea nilidhani nikimpush kimbea ataniangalia usoni.
haukununa mkuu?
 
Kuna boya alkuwa hamheshimu mke wake,alkuwa akiona demu mzur hata kama yupo kwenye gari anatoa kichwa nje ili zone vzur,badala ya kuchungulia kwenye side mirror
 
Kuna boya alkuwa hamheshimu mke wake,alkuwa akiona demu mzur hata kama yupo kwenye gari anatoa kichwa nje ili zone vzur,badala ya kuchungulia kwenye side mirror
huyo kweli alikua boya
 
Nilikuwa na huyu babe nilimzoea sana, nakuwa huru sana nikiwa nae.., tukiwa misele nikaona mdada ana mshepu wake uwa namshtua namwambia aangalie uumbaji wa sir God.....basi anacheeeka mwenyewe, sometimes ananitania nikamuombee namba na mimi namtania kausha kuna UTI sugu pale [emoji38][emoji38]

Macho hayana pazia, lakini muwe mnajitahidi kutuliza shingo zenu hizo muwapo na wenzi wenu...

Kumbe ww niwakiume maana kuna siku mlichambana sijui na nani yule eti akadai ulimwita Boko
 
Yani mimi nikiona mdada ana tako yani lazma nimshtue jamaa yangu na nnamwambia kabisa huyu dada anatako zuri 😂. Nimezoea hivo
 
Sio sisi wanaume tu, nikwambie ata wanawake wenyew mdada akipita ana shape matata wanakuwaga wa kwanza kugeuka sasa najiulizaga wanaona fahari gan
 
Back
Top Bottom