Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Safi, nawatabiria kudumu kwenye ndoa yenu sana, maana nwanamke kutokasirika hovyo hovyo huleta furaha sana kwenye mahusiano
Hao ni wanawake visirani,ogopa sana aisee.

Ila nilichogundua ndoa haitakiwi maisha yake kuyachukulia siriaz sana kwamba ndo mume tenaaa.

Ila mkiishi kama washkaji au marafiki ni jambo jema sana,
 
unajikaza tu ajili ya mwenza maana hata chafya ukiwa mbele za watu huwezi ipga direct lazima utaangalia namna nzuri ili usiwakere wengne
Mimi hutizama kwa raha zangu,macho nimepewa nitizame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…