Yap na mimi nimeona kwa Ad yao.Leo nimesikia kuwa CRDB watashirikiana na Tigo kutoa mikopo.
Asante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap na mimi nimeona kwa Ad yao.Leo nimesikia kuwa CRDB watashirikiana na Tigo kutoa mikopo.
Halafu wanazinguwa kama m pawa unaweza kukopa miezi minne na unalipa kwa wakati lakini hawaongezi kiwango cha mkopo.SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.
Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.
Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida
Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe, SONGESHA, Gold, bustisha ziwe na term of condition, Yani taratibu za mwanachama kukubali
Kama si mwaminifu wa kurejesha mkopo wao lazima wakublack list.Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida
Songesha ni FINCASongesha Iko Chini ya Tanzania Commercial Bank ni kitengo Cha Cha benki ukikopa ni sawa na umekopa benki record zako linaonyesha ulikopa benki ya Tanzania Commercial bank na hulipi
Kwanza jamaa muongo, mtumishi hela hukatwa kwenye mshahara moja kwa mojaYaani bank wakatae kula hela ya mtumishi 200k kwa mwezi kisa alikopa 20k Songesha? We utakua haukopesheki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatulipi hata mkituanzishia nyuzi
Hiyo ni kweli mkuu. Nilikuwa benki jana,loan officer akawa analalamika kuwa system imewatema wateja wake 10 ambao walikuwa wanataka kuchukua mkopo. Ni watumishi wa umma. Hivyo akawa anasema awape mkopo manually,ili kuepuka hizo hasara.Kwanza jamaa muongo, mtumishi hela hukatwa kwenye mshahara moja kwa moja
Kama ni mtumishi ukienda benki hutopewa mkopo mkuu.Mimi nilikopa sogesha laki tu,nikachelewa kulipa kwanza wamefuta kiwango chote cha kukopa na hawajarusidha mpaka sasa
Nishawarudishia hela zaoKama ni mtumishi ukienda benki hutopewa mkopo mkuu.
Mkuu tafakari vizuri, hapo muhuni ni wewe ambaye umeshindwa kulipa kwa wakati. Mkopo sio zawadi, lipa kwa wakati ujiwekee heshimaTimiza ya Airtel wamenitumia ujumbe kuwa watanishtaki Kila mahali
Timiza ya Airtel wamenileta sms ya vitisho baada ya kuchelewa kurudisha 4500 kwa siku nne na kutishia kunishitaki kwenye mamlaka zote za mkopo.
Hawa wahuni ni sawa na wahuni wa on line mikopo kausha damu.
Hiyo ndio Hali halisiNina hakika mabenki yanayo tegemea faida kwa kukopesha watumishi yatapoteza wateja wengi mnoo. Maana kiukweli asilimia kubwa wana vimikopo walivyo default.
Jana nilikuwa benk ya CRDB,wanasema maombi ya wateja wapatao 10 kwa ajili ya mikopo yamekataliwa na system kwa sababu ya udaiwa sugu. Yule loan officer alikuwa anasikitishwa na hyo Hali na akawa anasema wanafanya communication na makao makuu ili waachie tu hyo mikopo.
Kwa nini aiseeUmasikini unarudi Kwa Kasi Kwa wananchi wa Tanzania
Wewe lipa Chao tu porojo na ujanja ujanja mbele Giza Tena neneJe wake wanaodaiwa na Branch?