Ukiwa na NMB Yanga World Debit Mastercard na safari yako ya ndege ikaahirishwa NMB watakulipa TZS 19M, Why this today?

Mama mitano tena hata hivyo huyu dada wa NMB anakasi nzuri sana tumtazame kwa jicho la Uwaziri wa Fedha au Gavana BOT atatusaidia sana
 
Sisi wateja wa NMB tusio yanga wala simba tunakwepuliwa na NMB. Ukiwa na akaunti hapo utakatwa tozo za kila aina. Kuuliza salio, kutunza akaunti, kutunza kadi ya ATM, kutunza benki mkononi na kadhalika. Halafi kilaa tozo ina VAT.
NMB ina makato ambayo hayapo katika benki zingine hapa nchini
Ndio maana mishahara na pensheni za serikali/mashirika haziruhusiwi kulipiwa kupitia benki hizo - Ni NMB au CRDB tu - fair trade mpo?
 
NMB ukiacha baadhi ya watumishi wake wahuni bado ni benki nzuri na inayofaa sana kuaminiwa na wateja wote tangu wale wakubwa, wakati na hata wale wa chini kabisa
 
Siwamesema sio lazima tu uwe Yanga hata Namungo Fc au Kitayosa pia ni sawa tu
 


Nimesoma vipengele vyote kama, Kama mtu ninayepanda ndege na kusafiri hii dunia yote..... Mara nyingi siwezi hesabu:

1. Ahadi zote za insurance ni uongo.
2. Kutakuwa kuna hidden conditions.
3. Yaliyoandikwa hapo sio practical.
 
1M kwa 19M mbona kama faida ipo?
Ni faida kwa wanaosafiri kwa ndege mara kwa mara. Pia kumbuka kuna neno 'hadi 19M', means hiyo ni maximum. Haijawekwa wazi vigezo vya variations ya fidia kuanzia minimum hadi maximum, na pengine ni aina ya shirika la ndege 😁
 
Nimesoma vipengele vyote kama, Kama mtu ninayepanda ndege na kusafiri hii dunia yote..... Mara nyingi siwezi hesabu:

1. Ahadi zote za insurance ni uongo.
2. Kutakuwa kuna hidden conditions.
3. Yaliyoandikwa hapo sio practical.
Nadhani "No research no right to say"
 
Kaombe mwaliko Ikulu ukanywe naye chai
 
Aisee wewe ni wakala wa NMB !?
 
Nadhani "No research no right to say"

Nakuambia ukweli, nimewahi kaa nje na kusafiri na insurance za kazini kwangu nikakutana na hayo mazingira, najua ninachosema.

Those promises are too good to be true. Insurance, Tanzania hii? Vodacom kila siku wanatapeli wa Mama mbogamboga na insurance za uongo.
 
"Hadi Dola 300 ndege ikichelewa"

Including air Tanzania na Precision air, nchi ngumu hii.
 
"Benki ya NMB ikiwemo mikopo nafuu"

Kweli Tanzania ngumu sana
 
Acha na hayo mambo ya msimu ni swala la muda tu Mgao utakuwa historia hapa Tanzania
CCM wamekuwa wakituambia kuwa mgao soon utakuwa historia tangu JK akiwa Nishati na Madini.
Leo ni miaka mingapi imepita lakini mgao ni mkali kama kisu kipya!!???

CCM ni baba wa uongo.
CCM haitaweza kamwe kuondoa kero za Mtanzania.

Insanity ni ....
 
Watanzania wengi

Many Tanzanian has low purchasing power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…