Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
1M kwa 19M mbona kama faida ipo?Nilikuwa naitafuta sentensi hii, maana imefichwa chini chini huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1M kwa 19M mbona kama faida ipo?Nilikuwa naitafuta sentensi hii, maana imefichwa chini chini huku
Mama mitano tena hata hivyo huyu dada wa NMB anakasi nzuri sana tumtazame kwa jicho la Uwaziri wa Fedha au Gavana BOT atatusaidia sanaHabari Jukwaa la Siasa,
Tunaposema Mama Samia aongezewe miaka mingine mitano ni mambo kama haya tunayatazama,
Haya mambo hayakuwahi kufanyika tangu uhuru wa Taifa hili but why now?
Sasa twende na Mimi kwenye hoja,
1. Benki ya NMB tanzania na Klabu ya Yanga SC wamezindua Kadi Maalum za Wanachama wa Yanga,
2. Huu ukiwa ni ni muendelezo wa ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kubwa nchini za kibiashara.
3. Kwa wasiofahamu, Kadi hii ya NMB Yanga World Debit Mastercard huunganishwa na akaunti na huduma zote za kifedha za Benki ya NMB.
4. Mwanachama atakayejiunga atapata Jezi 6 Kila Msimu, VIP Ticket 10 za Msimu wa NBC VPL
5. Kadi hii pia Kutumika in kwa VIP Lounge katika viwanja vya ndege vya kimataifa bure.
6. Kadi hii pia inakupa Bima za safari ukilipia tiketi ya ndege kutumia kadi hii ikiwemo kulipwa hadi Dola za Kimarekani 3,000 begi likipotea, hadi Dola 300 ndege ikichelewa na kupata mpaka Dola 7,500 kama safari yako ya ndege ikihahirishwa.
7. Hata unapougua NMB itakupa punguzo la kuanzia 10% na kuendelea ukitibiwa katika hospitali zote za Aga Khan nchini.
8. Utapata pia Punguzo la hadi 10% ukifanya malipo kwa Kadi/QR katika maduka, migahawa, vituo vya mafuta na maeneo mengine.
9. Lakini pia, Mwanachama kupata Toleo la kwanza la jezi na vifaa vyote vinavyotambulishwa na Yanga
10, Nzuri zaidi mwanayanga kupata huduma zote za kifedha zinazotolewa na Benki ya NMB ikiwemo mikopo nafuu, huduma ya NMB Mkononi na nyingine nyingi.
11. Mwanachama wa Yanga ataipata kadi hii kwa ada ya Milioni Moja kwa mwaka na kufurahia huduma zote hizi kwa mwaka na Kadi hii inapatikana katika matawi yote ya Benki ya NMB nchi nzima kuanzia leo.
12. Hata mwanachama wa Ihefu ya Yanga anaweza pia kununua kadi hii au hata mwanachama wa Club yeyote ile.
Promax kunguniChawa
Sahihi kabisa1M kwa 19M mbona kama faida ipo?
NMB ukiacha baadhi ya watumishi wake wahuni bado ni benki nzuri na inayofaa sana kuaminiwa na wateja wote tangu wale wakubwa, wakati na hata wale wa chini kabisaHabari Jukwaa la Siasa,
Tunaposema Mama Samia aongezewe miaka mingine mitano ni mambo kama haya tunayatazama,
Haya mambo hayakuwahi kufanyika tangu uhuru wa Taifa hili but why now?
Sasa twende na Mimi kwenye hoja,
1. Benki ya NMB tanzania na Klabu ya Yanga SC wamezindua Kadi Maalum za Wanachama wa Yanga,
2. Huu ukiwa ni ni muendelezo wa ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kubwa nchini za kibiashara.
3. Kwa wasiofahamu, Kadi hii ya NMB Yanga World Debit Mastercard huunganishwa na akaunti na huduma zote za kifedha za Benki ya NMB.
4. Mwanachama atakayejiunga atapata Jezi 6 Kila Msimu, VIP Ticket 10 za Msimu wa NBC VPL
5. Kadi hii pia Kutumika in kwa VIP Lounge katika viwanja vya ndege vya kimataifa bure.
6. Kadi hii pia inakupa Bima za safari ukilipia tiketi ya ndege kutumia kadi hii ikiwemo kulipwa hadi Dola za Kimarekani 3,000 begi likipotea, hadi Dola 300 ndege ikichelewa na kupata mpaka Dola 7,500 kama safari yako ya ndege ikihahirishwa.
7. Hata unapougua NMB itakupa punguzo la kuanzia 10% na kuendelea ukitibiwa katika hospitali zote za Aga Khan nchini.
8. Utapata pia Punguzo la hadi 10% ukifanya malipo kwa Kadi/QR katika maduka, migahawa, vituo vya mafuta na maeneo mengine.
9. Lakini pia, Mwanachama kupata Toleo la kwanza la jezi na vifaa vyote vinavyotambulishwa na Yanga
10, Nzuri zaidi mwanayanga kupata huduma zote za kifedha zinazotolewa na Benki ya NMB ikiwemo mikopo nafuu, huduma ya NMB Mkononi na nyingine nyingi.
11. Mwanachama wa Yanga ataipata kadi hii kwa ada ya Milioni Moja kwa mwaka na kufurahia huduma zote hizi kwa mwaka na Kadi hii inapatikana katika matawi yote ya Benki ya NMB nchi nzima kuanzia leo.
12. Hata mwanachama wa Ihefu ya Yanga anaweza pia kununua kadi hii au hata mwanachama wa Club yeyote ile.
Siwamesema sio lazima tu uwe Yanga hata Namungo Fc au Kitayosa pia ni sawa tuSisi wateja wa NMB tusio yanga wala simba tunakwepuliwa na NMB. Ukiwa na akaunti hapo utakatwa tozo za kila aina. Kuuliza salio, kutunza akaunti, kutunza kadi ya ATM, kutunza benki mkononi na kadhalika. Halafi kilaa tozo ina VAT.
NMB ina makato ambayo hayapo katika benki zingine hapa nchini
Ndio maana mishahara na pensheni za serikali/mashirika haziruhusiwi kulipiwa kupitia benki hizo - Ni NMB au CRDB tu - fair trade mpo?
Habari Jukwaa la Siasa,
Tunaposema Mama Samia aongezewe miaka mingine mitano ni mambo kama haya tunayatazama,
Haya mambo hayakuwahi kufanyika tangu uhuru wa Taifa hili but why now?
Sasa twende na Mimi kwenye hoja,
1. Benki ya NMB tanzania na Klabu ya Yanga SC wamezindua Kadi Maalum za Wanachama wa Yanga,
2. Huu ukiwa ni ni muendelezo wa ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kubwa nchini za kibiashara.
3. Kwa wasiofahamu, Kadi hii ya NMB Yanga World Debit Mastercard huunganishwa na akaunti na huduma zote za kifedha za Benki ya NMB.
4. Mwanachama atakayejiunga atapata Jezi 6 Kila Msimu, VIP Ticket 10 za Msimu wa NBC VPL
5. Kadi hii pia Kutumika in kwa VIP Lounge katika viwanja vya ndege vya kimataifa bure.
6. Kadi hii pia inakupa Bima za safari ukilipia tiketi ya ndege kutumia kadi hii ikiwemo kulipwa hadi Dola za Kimarekani 3,000 begi likipotea, hadi Dola 300 ndege ikichelewa na kupata mpaka Dola 7,500 kama safari yako ya ndege ikihahirishwa.
7. Hata unapougua NMB itakupa punguzo la kuanzia 10% na kuendelea ukitibiwa katika hospitali zote za Aga Khan nchini.
8. Utapata pia Punguzo la hadi 10% ukifanya malipo kwa Kadi/QR katika maduka, migahawa, vituo vya mafuta na maeneo mengine.
9. Lakini pia, Mwanachama kupata Toleo la kwanza la jezi na vifaa vyote vinavyotambulishwa na Yanga
10, Nzuri zaidi mwanayanga kupata huduma zote za kifedha zinazotolewa na Benki ya NMB ikiwemo mikopo nafuu, huduma ya NMB Mkononi na nyingine nyingi.
11. Mwanachama wa Yanga ataipata kadi hii kwa ada ya Milioni Moja kwa mwaka na kufurahia huduma zote hizi kwa mwaka na Kadi hii inapatikana katika matawi yote ya Benki ya NMB nchi nzima kuanzia leo.
12. Hata mwanachama wa Ihefu ya Yanga anaweza pia kununua kadi hii au hata mwanachama wa Club yeyote ile.
Ni faida kwa wanaosafiri kwa ndege mara kwa mara. Pia kumbuka kuna neno 'hadi 19M', means hiyo ni maximum. Haijawekwa wazi vigezo vya variations ya fidia kuanzia minimum hadi maximum, na pengine ni aina ya shirika la ndege 😁1M kwa 19M mbona kama faida ipo?
Nadhani "No research no right to say"Nimesoma vipengele vyote kama, Kama mtu ninayepanda ndege na kusafiri hii dunia yote..... Mara nyingi siwezi hesabu:
1. Ahadi zote za insurance ni uongo.
2. Kutakuwa kuna hidden conditions.
3. Yaliyoandikwa hapo sio practical.
Aisee wewe ni wakala wa NMB !?Habari Jukwaa la Siasa,
Tunaposema Mama Samia aongezewe miaka mingine mitano ni mambo kama haya tunayatazama,
Haya mambo hayakuwahi kufanyika tangu uhuru wa Taifa hili but why now?
Sasa twende na Mimi kwenye hoja,
1. Benki ya NMB tanzania na Klabu ya Yanga SC wamezindua Kadi Maalum za Wanachama wa Yanga,
2. Huu ukiwa ni ni muendelezo wa ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kubwa nchini za kibiashara.
3. Kwa wasiofahamu, Kadi hii ya NMB Yanga World Debit Mastercard huunganishwa na akaunti na huduma zote za kifedha za Benki ya NMB.
4. Mwanachama atakayejiunga atapata Jezi 6 Kila Msimu, VIP Ticket 10 za Msimu wa NBC VPL
5. Kadi hii pia Kutumika in kwa VIP Lounge katika viwanja vya ndege vya kimataifa bure.
6. Kadi hii pia inakupa Bima za safari ukilipia tiketi ya ndege kutumia kadi hii ikiwemo kulipwa hadi Dola za Kimarekani 3,000 begi likipotea, hadi Dola 300 ndege ikichelewa na kupata mpaka Dola 7,500 kama safari yako ya ndege ikihahirishwa.
7. Hata unapougua NMB itakupa punguzo la kuanzia 10% na kuendelea ukitibiwa katika hospitali zote za Aga Khan nchini.
8. Utapata pia Punguzo la hadi 10% ukifanya malipo kwa Kadi/QR katika maduka, migahawa, vituo vya mafuta na maeneo mengine.
9. Lakini pia, Mwanachama kupata Toleo la kwanza la jezi na vifaa vyote vinavyotambulishwa na Yanga
10, Nzuri zaidi mwanayanga kupata huduma zote za kifedha zinazotolewa na Benki ya NMB ikiwemo mikopo nafuu, huduma ya NMB Mkononi na nyingine nyingi.
11. Mwanachama wa Yanga ataipata kadi hii kwa ada ya Milioni Moja kwa mwaka na kufurahia huduma zote hizi kwa mwaka na Kadi hii inapatikana katika matawi yote ya Benki ya NMB nchi nzima kuanzia leo.
12. Hata mwanachama wa Ihefu ya Yanga anaweza pia kununua kadi hii au hata mwanachama wa Club yeyote ile.
Nadhani "No research no right to say"
AFCON imefanyajeUfala upi hapo,
Why haya yafanyike Leo wakati wa Samia?
Angalia AFCON.
Angalia kinachoendelea huko vijijini.
Samia mitano tena.
CCM wamekuwa wakituambia kuwa mgao soon utakuwa historia tangu JK akiwa Nishati na Madini.Acha na hayo mambo ya msimu ni swala la muda tu Mgao utakuwa historia hapa Tanzania
Habari Jukwaa la Siasa,
Tunaposema Mama Samia aongezewe miaka mingine mitano ni mambo kama haya tunayatazama,
Haya mambo hayakuwahi kufanyika tangu uhuru wa Taifa hili but why now?
Sasa twende na Mimi kwenye hoja,
1. Benki ya NMB tanzania na Klabu ya Yanga SC wamezindua Kadi Maalum za Wanachama wa Yanga,
2. Huu ukiwa ni ni muendelezo wa ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kubwa nchini za kibiashara.
3. Kwa wasiofahamu, Kadi hii ya NMB Yanga World Debit Mastercard huunganishwa na akaunti na huduma zote za kifedha za Benki ya NMB.
4. Mwanachama atakayejiunga atapata Jezi 6 Kila Msimu, VIP Ticket 10 za Msimu wa NBC VPL
5. Kadi hii pia Kutumika in kwa VIP Lounge katika viwanja vya ndege vya kimataifa bure.
6. Kadi hii pia inakupa Bima za safari ukilipia tiketi ya ndege kutumia kadi hii ikiwemo kulipwa hadi Dola za Kimarekani 3,000 begi likipotea, hadi Dola 300 ndege ikichelewa na kupata mpaka Dola 7,500 kama safari yako ya ndege ikihahirishwa.
7. Hata unapougua NMB itakupa punguzo la kuanzia 10% na kuendelea ukitibiwa katika hospitali zote za Aga Khan nchini.
8. Utapata pia Punguzo la hadi 10% ukifanya malipo kwa Kadi/QR katika maduka, migahawa, vituo vya mafuta na maeneo mengine.
9. Lakini pia, Mwanachama kupata Toleo la kwanza la jezi na vifaa vyote vinavyotambulishwa na Yanga
10, Nzuri zaidi mwanayanga kupata huduma zote za kifedha zinazotolewa na Benki ya NMB ikiwemo mikopo nafuu, huduma ya NMB Mkononi na nyingine nyingi.
11. Mwanachama wa Yanga ataipata kadi hii kwa ada ya Milioni Moja kwa mwaka na kufurahia huduma zote hizi kwa mwaka na Kadi hii inapatikana katika matawi yote ya Benki ya NMB nchi nzima kuanzia leo.
12. Hata mwanachama wa Ihefu ya Yanga anaweza pia kununua kadi hii au hata mwanachama wa Club yeyote ile.
Many Tanzanian has low purchasing powerHabari Jukwaa la Siasa,