Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

Mtafuta officialdullastar Instagram ananunua hizo Mzee wa USA
 
KAMA KUNA MTU ANAZO NYINGI PIGA SIMU AU NJOO PM HARAKA, KUNA CHIMBO LANGU LA KUZIUZA

USICHELEWE HATA DAKIKA 1
Muongo wewe mshamba wa Kahama utapata wapi chimbo la kuuza Dollar, acha kujimwambafy wakati tunakujua mshamba mmoja wa mkoani huko.
 
Unaumia nini.

Kisa nimesoma na kukulia dar ndo unaumia kiasi hiki, kisa niko kahama kikazi unadhani sipajui Dar.

Wewe inbox umepakimbia kwa matusi na ukaishia kufir.wa halafu unaleta us.enge hapa.

Nimekuja dar mbona hukuleta mata- call niyashike shike
 
Muongo huyo hana chimbo wala nini atakutapeli mkuu kuwa makini.
Kama ana nia ya kukusaidia kuziuza hela zako kwa nini aweke condition kuwa ziwe nyingi? Lengo lake ni kukuibia.

Sitaki kula kisamvu.

Soon ntakubali bann ili nipost Pm zako za kutaka kunipa kundru.

Pelekea wengine siyo mimi kaka sawa?
 
..mkuu kama ni USD (dollar) ikiwa ni ya muda wa zamani au imechakaa au imekatika basi ipeleke City Bank ambapo kwa Dsm ipo hapo Town mitaa ya Posta mpya...City Bank ni Bank ya kimarekani na wao watakupa noti mpya kabisa bila maneno wala gharama maana wao wanazirudisha nyumbani kwao USA.
 
...hao City Bank wakikubadilishia na kukupa noti mpya unaweza kwenda nayo bureau de change yenye rate nzuri ukabadilisha hapo...pia kama una dollar ndogo ndogo nyingi mfano USD 5, USD 10, USD 20, etc na unataka upate za USD 50 au USD 100 kwa ajili ya kupata rate kubwa ya kubadilisha basi nenda na hizo dollar ndogo ndogo hapo hapo City Bank na wao watakupa noti za USD 50 or USD 100 bila gharama yoyote na unaweza kwenda kuibadili sehemu yoyote unayotaka.

..ukienda na noti za zamani banks zetu za kibongo watazikataa au kukulalia kwa kukupa rate ndogo..ujinga sana!..ila City Bank hawana huo upumbavu maana wanaelewa thamani ya pesa na kuthamini sana wateja hata kama sio wa bank yao.!
 
mkuu123 endapo fedha zingine sio za ki dollar nspo hutoa huduma pia kana safari ya kimarekani,yaani Chinese currency, UAE Na hata za ndani ya bara la Afrika kwacha ya Zambia, na medicals ya Mozambique watachukua kutokana na uzoefu wako
 
..mkuu hapana pesa ya nchi nyingine hawapokei..huwa naona ni USD tu nadhani sbbu ni benki ya kimarekani...hata malipo ya visa ya usa watu huwa wanafanyia hapo baada ya kupewa go ahead na embassy ya USA.
 
Back
Top Bottom