Walinambia za 2006 mpaka 2010 kama sikosei
Sehemu gani mskumbusho mkuuZipeleke makumbusho
Aah sawaMtafuta officialdullastar Instagram ananunua hizo Mzee wa USA
Makumbusho eneo ganiSehemu gani mskumbusho mkuu
niuuzie hizo pesa.
Au kama ni nyingi njoo PM nakupa hela
Muongo wewe mshamba wa Kahama utapata wapi chimbo la kuuza Dollar, acha kujimwambafy wakati tunakujua mshamba mmoja wa mkoani huko.KAMA KUNA MTU ANAZO NYINGI PIGA SIMU AU NJOO PM HARAKA, KUNA CHIMBO LANGU LA KUZIUZA
USICHELEWE HATA DAKIKA 1
Muongo wewe mshamba wa Kahama utapata wapi chimbo la kuuza Dollar, acha kujimwambafy wakati tunakujua mshamba mmoja wa mkoani huko.
Medecin kumbe huyo mwamba ni muongo
Muongo huyo hana chimbo wala nini atakutapeli mkuu kuwa makini.
Kama ana nia ya kukusaidia kuziuza hela zako kwa nini aweke condition kuwa ziwe nyingi? Lengo lake ni kukuibia.
mkuu123 endapo fedha zingine sio za ki dollar nspo hutoa huduma pia kana safari ya kimarekani,yaani Chinese currency, UAE Na hata za ndani ya bara la Afrika kwacha ya Zambia, na medicals ya Mozambique watachukua kutokana na uzoefu wako...hao City Bank wakikubadilishia na kukupa noti mpya unaweza kwenda nayo bureau de change yenye rate nzuri ukabadilisha hapo...pia kama una dollar ndogo ndogo nyingi mfano USD 5, USD 10, USD 20, etc na unataka upate za USD 50 au USD 100 kwa ajili ya kupata rate kubwa ya kubadilisha basi nenda na hizo dollar ndogo ndogo hapo hapo City Bank na wao watakupa noti za USD 50 or USD 100 bila gharama yoyote na unaweza kwenda kuibadili sehemu yoyote unayotaka.
..ukienda na noti za zamani banks zetu za kibongo watazikataa au kukulalia kwa kukupa rate ndogo..ujinga sana!..ila City Bank hawana huo upumbavu maana wanaelewa thamani ya pesa na kuthamini sana wateja hata kama sio wa bank yao.!
..mkuu hapana pesa ya nchi nyingine hawapokei..huwa naona ni USD tu nadhani sbbu ni benki ya kimarekani...hata malipo ya visa ya usa watu huwa wanafanyia hapo baada ya kupewa go ahead na embassy ya USA.mkuu123 endapo fedha zingine sio za ki dollar nspo hutoa huduma pia kana safari ya kimarekani,yaani Chinese currency, UAE Na hata za ndani ya bara la Afrika kwacha ya Zambia, na medicals ya Mozambique watachukua kutokana na uzoefu wako