Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani.

Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF

Hali hii tunaipitia wangapi?

MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka.
 
Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani.

Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, , naingia twitter, naingia netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF

Hali hii tunaipitia wangapi ?

MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka
Hio inaitwa Addiction
 
Ndiyo mara yako ya kwanza kuweka bando kubwa? Au pengine hujazoea! Ni kama kununua gari mara ya kwanza, unataka kuendesha muda wote. Nasema hivi kwa sababu wengine tuna internet connection ya 1000 mbps na simu ni unlimited lakini tunalala.
 
Hujazoea kuwa na bundle ndio maana ukipata unavuruga ratiba zako, siku ukipewa ofa ya gb 5 au ukapata kitonga cha Wi-fi si hutofunga jicho kabisa?
 
Back
Top Bottom