Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

Acha hiyo tabia,

Mwili wa binadamu, hasa ubongo unahitaji kupumzika.
Unqchokifanya wewe unachosha seli za ubongo, na kufanya zife haraka. Hii itapunguza ufanisi wa ubongo wako.
 
Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani.

Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, , naingia twitter, naingia netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF

Hali hii tunaipitia wangapi ?

MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka
ni madhara ya vichocheo vya urika, yechnologia na utandawazi tu ndivyo husumbua watu,
but vikiwa vimekaa level hutahangaika ivo ama majukumu ya maana yakikutinga vizuri utajikuta unatenga muda kabisa wa kuchungulia huko, muda wa kula, kupumzika n.k

kwasasa vichocheo vipo high vikiwa standard na low utaona ni mzigo kuhangaika mtandaoni iwe ni kwa faida au hasara...
 
Back
Top Bottom