kila siku mambo mapya hasa reddit kuna subforums zipo addictive sana kama askreddit, truthoffmychest, changemyview, n.k.Hujazoea tu mambo hayo..ukizoea walah!.
video za pilau ningekuwa nishalala muda sana baada ya kukimbia kilometa 22 kitandaniHaucheki video za pilau kweli wewe?
NakaziaHaucheki video za pilau kweli wewe?
video za pilau ningekuwa nishalala muda sana baada ya kukimbia kilometa 22 kitandaniNakazia
Boss hujibu swali la msingi unatoa maelezo tuvideo za pilau ningekuwa nishalala muda sana baada ya kukimbia kilometa 22 kitandani
Sipandi mnazi mkuu, nipo addicted zaidi na subreddits za redditBoss hujibu swali la msingi unatoa maelezo tu
Hio inaitwa AddictionMuda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani.
Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, , naingia twitter, naingia netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF
Hali hii tunaipitia wangapi ?
MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka
Hahahaha kataa hy mambo net suffing huwezi toka mweupe lazima kuna jambo utajifunza tu keep it upSipandi mnazi mkuu, nipo addicted zaidi na subreddits za reddit
Naunga mkono hoja..Hujazoea tu mambo hayo..ukizoea walah!.
hahahahavideo za pilau ningekuwa nishalala muda sana baada ya kukimbia kilometa 22 kitandani
Si zimefungiwa au unaingilia mlango wa nyuma(VPN)video za pilau ningekuwa nishalala muda sana baada ya kukimbia kilometa 22 kitandani
Ndiyo mara yako ya kwanza kuweka bando kubwa? Au pengine hujazoea! Ni kama kununua gari mara ya kwanza, unataka kuendesha muda wote. Nasema hivi kwa sababu wengine tuna internet connection ya 1000 mbps na simu ni unlimited lakini tunalala.Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani.
Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, , naingia twitter, naingia netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF
Hali hii tunaipitia wangapi ?
MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka
Unajificha ficha sana recently.shida nin?Naunga mkono hoja..
Kuna kuzoea kweli? social media inalewesha kama pombe yaaniHujazoea tu mambo hayo..ukizoea walah!.