Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

Acha hiyo tabia,

Mwili wa binadamu, hasa ubongo unahitaji kupumzika.
Unqchokifanya wewe unachosha seli za ubongo, na kufanya zife haraka. Hii itapunguza ufanisi wa ubongo wako.
 
ni madhara ya vichocheo vya urika, yechnologia na utandawazi tu ndivyo husumbua watu,
but vikiwa vimekaa level hutahangaika ivo ama majukumu ya maana yakikutinga vizuri utajikuta unatenga muda kabisa wa kuchungulia huko, muda wa kula, kupumzika n.k

kwasasa vichocheo vipo high vikiwa standard na low utaona ni mzigo kuhangaika mtandaoni iwe ni kwa faida au hasara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…