Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
- Thread starter
-
- #41
Let me explore. You have something justifiable kabisa. Asante nduguWana charge zao wao watatumia njia zao za kijanja kufikisha pesa. Mfano kuna wafanyabiashara wakubwa hapa nchi ata ukitaka kuvusha 1m usd unavusha ila kikubwa utakua charged. Explore
Mkuu ebu deposit apa kwangu 10k utulie utafute wengine 49Asante. Na si lazima niwe na hiyo hela ila kupata maelezo ni swala zuri. Kuuliza si ujinga wanasema waswahili.
Labda ametakatishaKuna ulazima wa kuja nazo hivyohivyo zikiwa cash
Moja ya wezi ni wewe kwenye njia ya kudeposit kwa watu, Though okay, ila haiwezekani. Maana hela inatoka kwa mtu mmoja kwenda kwa wengi bado hela ipo na risk ya kupotea na mimi kukamatwa.Mkuu ebu deposit apa kwangu 10k utulie utafute wengine 49
Watanzania tangu waifahamu hiyo dark web hatupumui😂Ingia dark web uone watu wanasafirisha zaidi ya hizo.
Ziweke kwenye maguniaHabari wana JF,
Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.
Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
Mi sina shida ya kukuibia tatizo unashindwa kukubali kuwa kuleta kimagendo ndo the only optionMoja ya wezi ni wewe kwenye njia ya kudeposit kwa watu, Though okay, ila haiwezekani. Maana hela inatoka kwa mtu mmoja kwenda kwa wengi bado hela ipo na risk ya kupotea na mimi kukamatwa.
Nunua magari safirisha hadi East Africa tafuta wateja rudisha mzigo wako.Moja ya wezi ni wewe kwenye njia ya kudeposit kwa watu, Though okay, ila haiwezekani. Maana hela inatoka kwa mtu mmoja kwenda kwa wengi bado hela ipo na risk ya kupotea na mimi kukamatwa.
Onyesha niliposema kimagendo sijakubali. Na aim ya thread iko hvo.Mi sina shida ya kukuibia tatizo unashindwa kukubali kuwa kuleta kimagendo ndo the only option
Habari wana JF,
Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.
Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
Vipi kama hataki kufanya biashara?Nunua magari safirisha hadi East Africa tafuta wateja rudisha mzigo wako.
Hatujawahi kufanya biashara yoyote na wala hunijui vizuri, we binafsi unaweza kurisk hata milioni kumi kunikabidhi?Namba 4 aifanyie kazi
Hiyo hela hawezi kuisafirisha kirahis rahisi kama mapera.Vipi kama hataki kufanya biashara?
Habari wana JF,
Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.
Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo wanaoelewa mipango. Asanteni.
Utalambwa pale Airport,
Na sijui nchi gani utaondoka na hiyo hela cash wakuache
Bank hawa ukoweka hela nyingi lazima wafuatilie wajue ulikozitoa hizo hela au ulikozipata ila kama maelezo yatajitosheleza hakuna shida.Tumbukiza PayPal kisha sukuma safaricom kisha Mpesa /bank Tanzania
Au tupia bank Moja kwa Moja zingine Weka kwenye account yangu utakuja chukua mkuu