PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 429
- 925
Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.
Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.
Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85 dogo wala hawazi.
Kila mtu alikuwa anapenda kuwa rafiki yake, ila sisi tulikuwa watatu tunaofaidika na dogo, tulikuwa tunamlinda kwa kila hali... tupo radhi tukuvizie njiani tukupige kama ukimsema dogo vibaya. Tuliahakikisha marafiki zake ni sisi tu haongezek mwingine.
Ila dogo alikuwa kilaza darasani hivyo kwenye mtiani tulikuwa tunampambania majibu.
Dogo alinunua biskeli laki mbili na nusu ikakatika breki siku hiyohiyo akainipa, kwanza anaogopa kwenda nayo nyumbani ataulizwa katoa wapi.
Kweli ukiwa kilaza watu watakudanganya sana