Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri (kilaza) ni rahisi sana kudanganywa

Natamani Mungu awape akili ya kuelewa alichokuwa anamaanisha PSEUDOPODIA maana sio kwa ukilaza huu. Kama Kalamu ni 500, (uwanja wa Arusha) ukiwa fala utauziwa 85,000 (Bei ya uwanja kutoka kwa CAG). Au unataka watajwe tuwazomee waone aibu?
Umeandika nini wewe fala huwezi kutuandikia maandazi humu kisha tukakuchekea umeandika ujinga
 
Mwananchi amekaa kinafiki nafiki/ viongozi wamekaa kimuvi muvi kimagizo igizo, bongo kikubwa umeshiba, mengine tumwachie asiejulikama
 
Mkuu Puse, PSEUDOPODIA , kwanza nimelipenda jina lako, limenikumbusha mwalimu wangu wa Tambaza, somo la Baiyologia somo la kwanza, kipindi cha kwanza cha what is biology, akiitwa Teacher Mtweve, topic ya unicellular organisms, kiumbe wa kwanza ni amoeba wa kundi la prozoa, movement yake ni kwakutumia pseudopodia!

Pili ni kweli ukiwa kilaza sana, watu watakudanganya sana, ila ukiwa na good IQ, ukikutana na makosa ya typo, utambaini ni typo na utarekebisha mwenyewe!

Kama hukuweza kubaini mpaka umebainishiwa, then the issue is IQ!

Nilishauri mahali tuboreshe vigezo, tuweke aptitude test kupima IQ ya watu wetu... vinginevyo ... ndio kama vile!.
P
Utatekwa bure
 
Shemeji, kwani mtu ambaye ni Kilaza anaweza kuwa na IQ kubwa? Mimi ninachofahamu Kilaza na Low IQ baba yao ni mmoja! Halafu mtu mwenye akili nyingi kama Lissu na IQ kubwa, pia baba yao ni mmoja.
 
Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.

Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.

Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85 dogo wala hawazi.

Kila mtu alikuwa anapenda kuwa rafiki yake, ila sisi tulikuwa watatu tunaofaidika na dogo, tulikuwa tunamlinda kwa kila hali... tupo radhi tukuvizie njiani tukupige kama ukimsema dogo vibaya. Tuliahakikisha marafiki zake ni sisi tu haongezek mwingine.

Ila dogo alikuwa kilaza darasani hivyo kwenye mtiani tulikuwa tunampambania majibu.

Dogo alinunua biskeli laki mbili na nusu ikakatika breki siku hiyohiyo akainipa, kwanza anaogopa kwenda nayo nyumbani ataulizwa katoa wapi.

Kweli ukiwa kilaza watu watakudanganya sana
Yaani title ya uzi wako inafanya watu tupate ukakasi na uzi wako. Lakini tufanye tumekuamini
 
Licha ya kunufaika Kutoka Kwa dogo, lakini hakika haukuwa mtoto mzuri. Unless otherwise haujabadilika mkuu basi haupaswi kuwa kwenye taasisi yeyote, maana wewe ni mbinafsi na ni fisadi pia.
Story yake katunga uongo nitabisha mpaka kesho kutwa hakuna mtoto ambae atakupa 85,000 umpe peni ni UONGO
 
Story ya UONGO nimeishia kwenye kuuza peni ya 500 kwa 85,000 sio kweli hakuna mtoto fala kiasi hicho labda mwenye miaka 0
Hata huyo wa miaka 0 sidhani kama atakubali, labda awe amepata kilo tano za kileo
 
Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.

Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.

Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85 dogo wala hawazi.

Kila mtu alikuwa anapenda kuwa rafiki yake, ila sisi tulikuwa watatu tunaofaidika na dogo, tulikuwa tunamlinda kwa kila hali... tupo radhi tukuvizie njiani tukupige kama ukimsema dogo vibaya. Tuliahakikisha marafiki zake ni sisi tu haongezek mwingine.

Ila dogo alikuwa kilaza darasani hivyo kwenye mtiani tulikuwa tunampambania majibu.

Dogo alinunua biskeli laki mbili na nusu ikakatika breki siku hiyohiyo akainipa, kwanza anaogopa kwenda nayo nyumbani ataulizwa katoa wapi.

Kweli ukiwa kilaza watu watakudanganya sana
Hatuna bahati , low Iq ndio ziko kwenye maamuzi safari hii. Hafwafuatilii hata kujihangaisha kufanya research kidogo bado ni ishu
 
Humu watoto ni wengi sana humu!

Kama amesoma kipindi ambacho kuna familia ilikuwa inaibiwa hela cash Tsh 85,000/= isiyumbe au Tsh 250,000/= isitetereke basi tuendelee kupitia post zetu taratibu maana unaweza kumtukana mwanao.
 
Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.

Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.

Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85 dogo wala hawazi.

Kila mtu alikuwa anapenda kuwa rafiki yake, ila sisi tulikuwa watatu tunaofaidika na dogo, tulikuwa tunamlinda kwa kila hali... tupo radhi tukuvizie njiani tukupige kama ukimsema dogo vibaya. Tuliahakikisha marafiki zake ni sisi tu haongezek mwingine.

Ila dogo alikuwa kilaza darasani hivyo kwenye mtiani tulikuwa tunampambania majibu.

Dogo alinunua biskeli laki mbili na nusu ikakatika breki siku hiyohiyo akainipa, kwanza anaogopa kwenda nayo nyumbani ataulizwa katoa wapi.

Kweli ukiwa kilaza watu watakudanganya sana
Kwa kweli huna haja ya kutaja majina!
 
Back
Top Bottom