PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 429
- 925
Mkuu Puse, PSEUDOPODIA , kwanza nimelipenda jina lako, limenikumbusha mwalimu wangu wa Tambaza, somo la Baiyologia somo la kwanza, kipindi cha kwanza cha what is biology, akiitwa Teacher Mtweve, topic ya unicellular organisms, kiumbe wa kwanza ni amoeba wa kundi la prozoa, movement yake ni kwakutumia pseudopodia!Kweli ukiwa kilaza watu watakudanganya sana
UONGOMfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85 dogo wala hawazi.
MTIHANIIla dogo alikuwa kilaza darasani hivyo kwenyemtianitulikuwa tunampambania majibu.
BAISKELIDogo alinunuabiskelilaki mbili na nusu ikakatika breki siku hiyohiyo akainipa, kwanza anaogopa kwenda nayo nyumbani ataulizwa katoa wapi.
Kipimo kikuu kinachotumika kujua bei ya mafuta kwenye soko la dunia ni Pipa (kwa Kiingereza: Barrel au kifupi chake bbl).Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.
Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.
Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85 dogo wala hawazi.
Kila mtu alikuwa anapenda kuwa rafiki yake, ila sisi tulikuwa watatu tunaofaidika na dogo, tulikuwa tunamlinda kwa kila hali... tupo radhi tukuvizie njiani tukupige kama ukimsema dogo vibaya. Tuliahakikisha marafiki zake ni sisi tu haongezek mwingine.
Ila dogo alikuwa kilaza darasani hivyo kwenye mtiani tulikuwa tunampambania majibu.
Dogo alinunua biskeli laki mbili na nusu ikakatika breki siku hiyohiyo akainipa, kwanza anaogopa kwenda nayo nyumbani ataulizwa katoa wapi.
Kweli ukiwa kilaza watu watakudanganya sana
Story FB analeta JFMbona una majungu sana
Good bro hii ni nzuri sasa subiri wakukopi waseme wamesema wao na credits hawakupiKipimo kikuu kinachotumika kujua bei ya mafuta kwenye soko la dunia ni Pipa (kwa Kiingereza: Barrel au kifupi chake bbl).
Ujazo wa Pipa Moja: Pipa moja la mafuta ni sawa na lita 159 (au galoni 42 za Marekani).
Vipimo Rejea (Benchmarks): Katika soko la kimataifa, bei ya pipa hupimwa kulingana na aina maalum za mafuta ghafi ambazo hutumika kama miongozo:
Brent Crude: Hiki ni kipimo kikuu kinachotumiwa duniani kote, hasa kwa mafuta yanayozalishwa Bahari ya Kaskazini, Afrika, na Mashariki ya Kati.
West Texas Intermediate (WTI): Kipimo kinachotumiwa zaidi kwa mafuta yanayozalishwa Marekani.
Dubai/Oman: Hutumika kama rejea kwa soko la Asia na Mashariki ya Kati.
Sarafu: Bei ya mafuta duniani hutangazwa na kuuzwa kwa kutumia Dola ya Marekani (USD) kwa kila pipa.
Nimeikuta hii mahali.Kipimo kikuu kinachotumika kujua bei ya mafuta kwenye soko la dunia ni Pipa (kwa Kiingereza: Barrel au kifupi chake bbl).
Ujazo wa Pipa Moja: Pipa moja la mafuta ni sawa na lita 159 (au galoni 42 za Marekani).
Vipimo Rejea (Benchmarks): Katika soko la kimataifa, bei ya pipa hupimwa kulingana na aina maalum za mafuta ghafi ambazo hutumika kama miongozo:
Brent Crude: Hiki ni kipimo kikuu kinachotumiwa duniani kote, hasa kwa mafuta yanayozalishwa Bahari ya Kaskazini, Afrika, na Mashariki ya Kati.
West Texas Intermediate (WTI): Kipimo kinachotumiwa zaidi kwa mafuta yanayozalishwa Marekani.
Dubai/Oman: Hutumika kama rejea kwa soko la Asia na Mashariki ya Kati.
Sarafu: Bei ya mafuta duniani hutangazwa na kuuzwa kwa kutumia Dola ya Marekani (USD) kwa kila pipa.
Hebu weka picha ya hiyo peni uliyoiuza kwa 85,000.Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.
Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.
Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85 dogo wala hawazi.
Kila mtu alikuwa anapenda kuwa rafiki yake, ila sisi tulikuwa watatu tunaofaidika na dogo, tulikuwa tunamlinda kwa kila hali... tupo radhi tukuvizie njiani tukupige kama ukimsema dogo vibaya. Tuliahakikisha marafiki zake ni sisi tu haongezek mwingine.
Ila dogo alikuwa kilaza darasani hivyo kwenye mtiani tulikuwa tunampambania majibu.
Dogo alinunua biskeli laki mbili na nusu ikakatika breki siku hiyohiyo akainipa, kwanza anaogopa kwenda nayo nyumbani ataulizwa katoa wapi.
Kweli ukiwa kilaza watu watakudanganya sana
Leo ng'wanangwa umejipambanua vizuri, hujakubali kuwa chawa! Tukubaliane tu kwamba mwenzetu pale ni zero brain. Kwa heshima ya JPM naomba hiyo "ZERO" tuisome kwa Kiswahili! Ngoja sasa lije li Lucas Mwashambwa, msikie linavyotapika minyoo!Mkuu Puse, PSEUDOPODIA , kwanza nimelipenda jina lako, limenikumbusha mwalimu wangu wa Tambaza, somo la Baiyologia somo la kwanza, kipindi cha kwanza cha what is biology, akiitwa Teacher Mtweve, topic ya unicellular organisms, kiumbe wa kwanza ni amoeba wa kundi la prozoa, movement yake ni kwakutumia pseudopodia!
Pili ni kweli ukiwa kilaza sana, watu watakudanganya sana, ila ukiwa na good IQ, ukikutana na makosa ya typo, utambaini ni typo na utarekebisha mwenyewe!
Kama hukuweza kubaini mpaka umebainishiwa, then the issue is IQ!
Nilishauri mahali tuboreshe vigezo, tuweke aptitude test kupima IQ ya watu wetu... vinginevyo ... ndio kama vile!.
P
HahahahašGood bro hii ni nzuri sasa subiri wakukopi waseme wamesema wao na credits hawakupi
Vilaza wa ccm hamjamwelewa bro. Pseudopodia alikuwa anamaanisha nini!Story FB analeta JF
Trust me wanakuja kukopi na hawatosema km uliandika wewe niamini mimiHahahahaš
Natamani Mungu awape akili ya kuelewa alichokuwa anamaanisha PSEUDOPODIA maana sio kwa ukilaza huu. Kama Kalamu ni 500, (uwanja wa Arusha) ukiwa fala utauziwa 85,000 (Bei ya uwanja kutoka kwa CAG). Au unataka watajwe tuwazomee waone aibu?Story FB analeta JF