AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Umeandika nini wewe fala huwezi kutuandikia maandazi humu kisha tukakuchekea umeandika ujingaNatamani Mungu awape akili ya kuelewa alichokuwa anamaanisha PSEUDOPODIA maana sio kwa ukilaza huu. Kama Kalamu ni 500, (uwanja wa Arusha) ukiwa fala utauziwa 85,000 (Bei ya uwanja kutoka kwa CAG). Au unataka watajwe tuwazomee waone aibu?
Hakika, hapo kwenye red ni muhimu sana.Nilishauri mahali tuboreshe vigezo, tuweke aptitude test kupima IQ ya watu wetu... vinginevyo ... ndio kama vile!.
Utatekwa bureMkuu Puse, PSEUDOPODIA , kwanza nimelipenda jina lako, limenikumbusha mwalimu wangu wa Tambaza, somo la Baiyologia somo la kwanza, kipindi cha kwanza cha what is biology, akiitwa Teacher Mtweve, topic ya unicellular organisms, kiumbe wa kwanza ni amoeba wa kundi la prozoa, movement yake ni kwakutumia pseudopodia!
Pili ni kweli ukiwa kilaza sana, watu watakudanganya sana, ila ukiwa na good IQ, ukikutana na makosa ya typo, utambaini ni typo na utarekebisha mwenyewe!
Kama hukuweza kubaini mpaka umebainishiwa, then the issue is IQ!
Nilishauri mahali tuboreshe vigezo, tuweke aptitude test kupima IQ ya watu wetu... vinginevyo ... ndio kama vile!.
P
Shemeji, kwani mtu ambaye ni Kilaza anaweza kuwa na IQ kubwa? Mimi ninachofahamu Kilaza na Low IQ baba yao ni mmoja! Halafu mtu mwenye akili nyingi kama Lissu na IQ kubwa, pia baba yao ni mmoja.Mkuu Puse, PSEUDOPODIA , kwanza nimelipenda jina lako, limenikumbusha mwalimu wangu wa Tambaza, somo la Baiyologia somo la kwanza, kipindi cha kwanza cha what is biology, akiitwa Teacher Mtweve, topic ya unicellular organisms, kiumbe wa kwanza ni amoeba wa kundi la prozoa, movement yake ni kwakutumia pseudopodia!
Pili ni kweli ukiwa kilaza sana, watu watakudanganya sana, ila ukiwa na good IQ, ukikutana na makosa ya typo, utambaini ni typo na utarekebisha mwenyewe!
Kama hukuweza kubaini mpaka umebainishiwa, then the issue is IQ!
Nilishauri mahali tuboreshe vigezo, tuweke aptitude test kupima IQ ya watu wetu... vinginevyo ... ndio kama vile!.
P
Ukweli unakata zaidi ya kisu!Mbona una majungu sana
Umri na dhahama hiyo vitu viwili tofauti,Mungu aepushie mbali.Utatekwa bure
Yaani title ya uzi wako inafanya watu tupate ukakasi na uzi wako. Lakini tufanye tumekuaminiNakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.
Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.
Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85 dogo wala hawazi.
Kila mtu alikuwa anapenda kuwa rafiki yake, ila sisi tulikuwa watatu tunaofaidika na dogo, tulikuwa tunamlinda kwa kila hali... tupo radhi tukuvizie njiani tukupige kama ukimsema dogo vibaya. Tuliahakikisha marafiki zake ni sisi tu haongezek mwingine.
Ila dogo alikuwa kilaza darasani hivyo kwenye mtiani tulikuwa tunampambania majibu.
Dogo alinunua biskeli laki mbili na nusu ikakatika breki siku hiyohiyo akainipa, kwanza anaogopa kwenda nayo nyumbani ataulizwa katoa wapi.
Kweli ukiwa kilaza watu watakudanganya sana
Story yake katunga uongo nitabisha mpaka kesho kutwa hakuna mtoto ambae atakupa 85,000 umpe peni ni UONGOLicha ya kunufaika Kutoka Kwa dogo, lakini hakika haukuwa mtoto mzuri. Unless otherwise haujabadilika mkuu basi haupaswi kuwa kwenye taasisi yeyote, maana wewe ni mbinafsi na ni fisadi pia.
Story ya UONGO nimeishia kwenye kuuza peni ya 500 kwa 85,000 sio kweli hakuna mtoto fala kiasi hicho labda mwenye miaka 0Yaani title ya uzi wako inafanya watu tupate ukakasi na uzi wako. Lakini tufanye tumekuamini
Hata huyo wa miaka 0 sidhani kama atakubali, labda awe amepata kilo tano za kileoStory ya UONGO nimeishia kwenye kuuza peni ya 500 kwa 85,000 sio kweli hakuna mtoto fala kiasi hicho labda mwenye miaka 0
Hatuna bahati , low Iq ndio ziko kwenye maamuzi safari hii. Hafwafuatilii hata kujihangaisha kufanya research kidogo bado ni ishuNakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.
Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.
Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85 dogo wala hawazi.
Kila mtu alikuwa anapenda kuwa rafiki yake, ila sisi tulikuwa watatu tunaofaidika na dogo, tulikuwa tunamlinda kwa kila hali... tupo radhi tukuvizie njiani tukupige kama ukimsema dogo vibaya. Tuliahakikisha marafiki zake ni sisi tu haongezek mwingine.
Ila dogo alikuwa kilaza darasani hivyo kwenye mtiani tulikuwa tunampambania majibu.
Dogo alinunua biskeli laki mbili na nusu ikakatika breki siku hiyohiyo akainipa, kwanza anaogopa kwenda nayo nyumbani ataulizwa katoa wapi.
Kweli ukiwa kilaza watu watakudanganya sana
Kwa kweli huna haja ya kutaja majina!Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.