Ukiwa na wananchi kwa upande wa nchi na Kikwete kwa upande wa chama, basi umemaliza. Nape na Makamba kwisha habari yao

Naludia tena CCM ni kikwete ni kinana na Mzee makamba kwa sasa. Up coming CCM ni January Nape na Mwigulu. Wote hao lao ni Moja wakisema kushoto nikushoto na kulia ni kulia. Kaeni kwa kutulia mwaka wa uchaguzi utakuwa wa burudani sana huu.
 
Naludia tena CCM ni kikwete ni kinana na Mzee makamba kwa sasa. Up coming CCM ni January Nape na Mwigulu. Wote hao lao ni Moja wakisema kushoto nikushoto na kulia ni kulia. Kaeni kwa kutulia mwaka wa uchaguzi utakuwa wa burudani sana huu.
Si nyinyi mliokuwa mnadai kuwa mama aliwekwa pale na Msoga, na kwamba sasa hivi kuna remote ambayo inatoka msoga ku control jumba jeupe.

Sasa kama mlilokuwa mnafikiri ni kweli, unafikiri mzee wa msoga atakubali aliemuweka anyang'anywe mitumbua na vijana aliewafunza siasa yeye mwenyewe.

Kwanza picha linaanza mtoto wa msoga sasa hivi kaongezwa cheo, kutoka unaibu waziri hadi uwaziri kamili. So hapo mtu wa namna hiyo mzee wa chama atakosaje kumpigania.

I mean just soma comment namb 11. Utaelewa nilichomaanisha hapa.
 
Vipi katika hili CHADEMA hawahusiki?

Anyway, mstaafu kustaafu Si zaidi ya siku kuu!!
Labda wanahusika ili kupata mgombea wa mwaka 2025. Lakini hakuna ambacho kitabadili mwelekeo wa mwenyekiti wa chama cha CCM.
 
Wewe tulia baada ya pilikapilika za uchaguzi kuisha uludi tukumbushane
 
Hayo majizi yaje kufanya nn!!
Mkuu kwa Tanzania mtu huonekana mwizi au fisadi pale tu anapokuwa nje ya upinzani. Lakini mtu huyo huyo mwizi au fisadi anapoamua kuja upinzani, basi huonekana ni mzalendo, mkombozi na mwenye maono.

Hivyo kwa sasa wanaweza kuonekana wezi lkn wakija upinzani wataonekana hawakuwahi kuiba, na yote waliyohusishwa nayo utasemekana yalipangwa kisiasa tu ili kuwachafua.

Unakumbuka 2015?
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    38.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240722-120509.jpg
    390.6 KB · Views: 2
Kikwete anaumwa!

Sijui kama ile theory ya Mzee Makamba itafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…