Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #21
Hahaha umemsahau kiongozi wao Bashiru πππKama walishindwa kina Jobo na Bash mda ule godfather wao alipovuta saizi ni too late ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha umemsahau kiongozi wao Bashiru πππKama walishindwa kina Jobo na Bash mda ule godfather wao alipovuta saizi ni too late ππ
Hahaha kweli kabisa ππHawana hata robo ya influence Aliyokuwa nayo lowasa
Nimeandika Bash hapoHahaha umemsahau kiongozi wao Bashiru πππ
Hahaha nilijua ulimaanisha BasheNimeandika Bash hapo
Aliwekwa kando tangu alipochafua hali ya hewa na kauli yake ile ya "Wazuri Hawafi".Je babu wa Bumbuli analizungumziaje hili na anamzungumziaje Chura kiziwi
Tena wote kwa pamoja Hawana hata robo ya influence alikuwa nayo LowasaHahaha kweli kabisa ππ
Si nyinyi mliokuwa mnadai kuwa mama aliwekwa pale na Msoga, na kwamba sasa hivi kuna remote ambayo inatoka msoga ku control jumba jeupe.Naludia tena CCM ni kikwete ni kinana na Mzee makamba kwa sasa. Up coming CCM ni January Nape na Mwigulu. Wote hao lao ni Moja wakisema kushoto nikushoto na kulia ni kulia. Kaeni kwa kutulia mwaka wa uchaguzi utakuwa wa burudani sana huu.
Labda wanahusika ili kupata mgombea wa mwaka 2025. Lakini hakuna ambacho kitabadili mwelekeo wa mwenyekiti wa chama cha CCM.Vipi katika hili CHADEMA hawahusiki?
Anyway, mstaafu kustaafu Si zaidi ya siku kuu!!
Wewe tulia baada ya pilikapilika za uchaguzi kuisha uludi tukumbushaneSi nyinyi mliokuwa mnadai kuwa mama aliwekwa pale na Msoga, na kwamba sasa hivi kuna remote ambayo inatoka msoga ku control jumba jeupe.
Sasa kama mlilokuwa mnafikiri ni kweli, unafikiri mzee wa msoga atakubali aliemuweka anyang'anywe mitumbua na vijana aliewafunza siasa yeye mwenyewe.
Kwanza picha linaanza mtoto wa msoga sasa hivi kaongezwa cheo, kutoka unaibu waziri hadi uwaziri kamili. So hapo mtu wa namna hiyo mzee wa chama atakosaje kumpigania.
I mean just soma comment namb 11. Utaelewa nilichomaanisha hapa.
Ni kweli mkuu.Tena wote kwa pamoja Hawana hata robo ya influence alikuwa nayo Lowasa
Nina imani haukubahatika kusoma comment ya 11, ndomaana bado hauelewi kilichoandikwa.Wewe tulia baada ya pilikapilika za uchaguzi kuisha uludi tukumbushane
Hayo majizi yaje kufanya nn!!Labda wanahusika ili kupata mgombea wa mwaka 2025. Lakini hakuna ambacho kitabadili mwelekeo wa mwenyekiti wa chama cha CCM.
Mkuu kwa Tanzania mtu huonekana mwizi au fisadi pale tu anapokuwa nje ya upinzani. Lakini mtu huyo huyo mwizi au fisadi anapoamua kuja upinzani, basi huonekana ni mzalendo, mkombozi na mwenye maono.Hayo majizi yaje kufanya nn!!
Huoni chura yupo pale km TV remote anayo babaKwanini mkuu?
Babu atawasonea Kurujuan!!Je babu wa Bumbuli analizungumziaje hili na anamzungumziaje Chura kiziwi
Kikwete anaumwa!Habari zenu wana JF wenzang
Baada ya tumbua tumbua iliyofanyika jana, na kupelekea vijana wawili (maadui wa taifa) kutumbuliwa na mwenye nchi yake, inasemekana na kuonekana kabisa kuwa watumbuliwaji wameunda genge lao na kutuma vijana huku mitandaoni kwa lengo la kumpiga mkwara boss wao aliewatupa nje ya kazi zao.
Tumeshaona waliotumwa wamekuja na mikwara ya kwamba inawezekana vijana hao wakamkwamisha mwenye nchi huyo na namba 1 wa chama ktk kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama chao, pamoja na kile cha uraisi πππ
Ukweli ni kwamba hizo ni ndoto za alinacha kwa nchi ambayo mkuu wa nchi ndio mwenyekiti wa chama. Nikiwa na maana kwamba yeye ndio alifa na umega kuanzia kwenye chama na nchi, hivyo kumuangusha au kumuengua mtu wa aina hii ili asigombee uraisi kwa kujifanya eti wao ndio waliokulia kwenye chama ni kujidanganya wenyewe.
Nafikiri wote tunakumbuka Jinsi raisi na mwenyekiti wa chama aliepita hayati Dr John P. Magufuli alivyowapeleka puta vijana hao hadi kupelekea wengine kutambaa kutoka kwao hadi ikulu kuomba msamaha. Sasa itakuwa kwa huyu ambae ana baraka kubwa kutoka kwa baba wa chama (Kikwete) na support kubwa kutoka uraiani baada ya wananchi wengi kufurahia kutumbuliwa kwao!!
Narudia tena, Makamba na Nape hawana ujanja wala nguvu ya kupindua meza iliyopo ikulu iwe kiushawishi au kifedha. Wao watulie tu na kuwa waangaliaji wa mechi kama wengine walivyokuwa waangaliaji pindi wao walipokuwa bado wachezaji wa team ya mama.
Thanks kwa kunisoma.
Hawakumjua kabla ya siku ile kuwa ni msema hovyoAliwekwa kando tangu alipochafua hali ya hewa na kauli yake ile ya "Wazuri Hawafi".
Kumbe walisogezwa kiushosti siyo kiuwezo wa kaziHivyo msoga ndio baba yao wa kisiasa. Kama hawana baraka zake wao na baba yao hawawezi kufanya lolote ktk nchi wala ktk chama.