Ukiwa nje usiwaamini ndugu Bongo, ndoto ya kurudi nyumbani mazima imefifia kutokana na ujenzi hafifu

kuna ofisi ya Dawasco imejengwa siku 29 lila kitu hadi tyres aise hapo mbona nyumba imeshaisha sasa .pesa kama ipo hiyo inajengwa siku 15 imeisha nipe mimi niisimamie nicheki inbox
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nacheka kama mazuri.

Sasa nguvu ya kuwatumia zingine unaitoa wapi?

Au ndio mambo ya damu nzito.....
Dah we acha tu ndugu.
 
"Basi nikajuwa kwa malalamiko haya utakuwa mjengo wa kisasa"

"Watu mnaopta bahati kwenda nje"

Mkuu maneno yako yamejaa wivu na chuki..
Kataa roho za kimasikini zitakufanya ushindwe kufikia mfanaikio katika maisha yako , badilisha mindset yako !
 
We nawe unafeli Sana!

Ndugu ni WATU wa kula nao kwenye maulidi,harusi,kipaimara,unyago,kando na sikukuu nyingine sio maendeleo!!

WAO wenyewe mishe zao zimekwama Ndio wafanikishe zako!?

BADO hujapitia stage zote za maisha ya ushirika na wabongo wewe,kwenye maendeleo wabongo ni wachawi Sana !Tena ukirudi na kuanza kuishi kwenye hiyo nyuma Ndio utawaelewa vizuri na kujuta KWANINI uliwashirikisha!!

Mwanamke ukizaa nae angeweza kuisimamia vizuri kama ungemwambia Ndio nyumba yetu ya kuishi wewe na wanetu komaa KWA ajili ya wanao!!

Nimeandika with personal experience sio KWA kuambiwa KABISA!!

Kwende ISHU ya maendeleo Binafsi usishirikishe ndugu kwenye process unaweza ukafa KABISA usirudie TENA!

Mungu ayabariki Maisha YAKO!
 
Mimi nilishapigwa Sana tena Mimi sikuwa mbali nilikuwa kenya Ila sio chini ya dollar elf 10 Bora wewe angalau ujapigwa Ila umecheleweshwa!!
 
Tena shukuru mjengo kuchelewa. Ungekuta ramani uliyochagua na uhalisia ni mbingu na ardhi
 
Kwa hyo ndugu yetu .umeona uyalete huku!.. umeshndwa kutufuata tukayaongea....
 
Nyumba kubwa hongera sana mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Shukran mkuu kwa ushauri uliokwenda shule πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…