dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
aisee, kibanda changu vinatoka kama sita hapo na chenchi inabaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe, unawaamini ndugu zako ambao hata JF hawaijui? Maana wangekuwa wanaijua usingeweka picha ya hiyo nyumba yako na kuwasema namna hiiSasa matokeo yake majuto ni mjukuu. Na mimi kuhamia Kigamboni staki naona kumenikalia kushoto sana aisee. Wana JF wenzangu mnaonaje, hivi mjengo huu unaweza kuisha kwa mwezi mmoja uliobaki kweli?
Ni sawa maana hata mke anaweza kujichanganya na Bodaboda wakaimaliza hiyo helaHakuna watu wanaoangusha kama ndugu bora hata ukiwa unakuja unajenga mwenyewe tu
Ata ingekuwa mimi lazm ningechuja bruh abiria chunga mzigo wakoNimetoka kuwatumia tena ndugu pesa wafanye fasta fasta, lkn kama vile na wao wanajaribu kuchuja chuja ili wapate za kula na wakati nawatumiaga za kufanyia mambo yao, kupigia misele nk.
Unavyoona watu wengi wa hapa duniani wanapata majuto makubwa na kuanguka ni kutokana na watu wa karibu especially ndugu hawana uaminifu sometime mtu baki kama rafiki anaweza kuplay fair kuliko ndugu...better kumuamini mke kama mshazaa na mna familia kuliko kwa sasa Tamaa ni nyingi mno mbele ya pesaKuna idadi ya kutosha ya watu waliolizwa na wake zao.
Mimi kuna Mshikaji alikuwa Marekani amemtumia mshikaji tu wa mtaani kusimamia nyumba yake mpaka imeisha na jamaa akaendelea kukaa kuilinda nyumba, mshkaji yupo hapa Sasa hivi amekuja likizo amemnunulia jamaa zawadi ya gari IST afanye uber.
Na nyumba iliyojengwa INA standard zote mpaka Rangi zake ni viwango, kwenye hili Mimi naona ni jinsi ya mtu kujipanga siku hizi kuna video call unaona vitu kwa uhalisia.
Ishu kama hizi unatenga tu muda kama ni mwezi mmoja unakuja unasimamia mafundi mpaka sehemu fulani unasimama ukipata tena nafasi unarudiNimetoka kuwatumia tena ndugu pesa wafanye fasta fasta, lkn kama vile na wao wanajaribu kuchuja chuja ili wapate za kula na wakati nawatumiaga za kufanyia mambo yao, kupigia misele nk.
Ndugu wana tuangusha sanaHakuna watu wanaoangusha kama ndugu bora hata ukiwa unakuja unajenga mwenyewe tu
Mkuu niuzie huo mjengo kwa million 25 TZSHabari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani.
Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini kwamba unao uwezo wa kufanya kila kitu kwao. Na kibaya zaidi hata utapojaribu kufanya baadhi ya vile unavyoweza kufanya bado utaendelea kubebeshwa lawama tu, ili mradi wahakikishe kuwa wew hauwezi ukaishi bila lawama zao.
Mwaka 2019 before corona nilikwenda bongo nikanunua kiji eneo maeneo ya salasala. Mpaka hapo tayari nilikuwa na eneo langu lingine ambalo tayari nimeshajenga kule Kigamboni, sehemu fulan inaitwa yebo yebo. Ila mimi binafsi nilipojaribu kupalinganisha Kigamboni na Salasala maeneo niliyonunua mimi, niliona kwamba Salasala ndio panafaa kuwa makazi yang ya kudumu pindi ntaporudi kuishi bongo mpaka pale muumba ataponichukua.
Kwahiyo nilivyorudi kaburu ikabidi nianze jitihada za ujenzi kule Salasala ili nishushe mjengo nitakaoishi mimi na familia yangu afu ile nyumba ya Kigamboni nitaipangisha. Kwa sasa kule yebo yebo Kigamboni anaishi brother wangu ambae na yey ana kiwanja chake huko huko Kigamboni anajenga, kwahiyo wakati namalizia mjengo wangu wa Kigamboni aliniomba akae kwanza kwa muda ili awe karibu na shughuli yake ya ujenzi afu nyumba yake ikishaisha ndo atapohama na kuniachia nyumba yangu nipangishe, nkasema haina noma bro.
Sasa basi ujenzi wa Salasala niliuanza mwaka 2020 nikitarajia kuwa katikati ya mwaka huu wa 2022 niwe nimeshamaliza afu ikiwezekana mwezi wa 12 nikienda bongo likizo iwe ndo kimoja nisirudi tena Kaburu. Cha kushangaza pamoja na jitihada zote nlizofanya lkn wanaosimamia mjengo wangu ndio wananikwamisha. Nyumba inaenda kimdondo sana mpaka inanikatisha tamaa kama ninaweza kuihamia mwishoni mwa mwaka huu.
Kabla ya kuanza ujenzi huu kuna watu walinishauri kwamba ni bora nimtume mama watoto aende kukaa bongo ili awe anasimamia shughuli za ujenzi kuliko kuwaamini ndugu tu pekee, mimi nikakaidi kwa kuona kuwa kamwe siwezi kumuweka mke wangu mbele ya ndugu zangu.
Sasa matokeo yake majuto ni mjukuu. Na mimi kuhamia Kigamboni staki naona kumenikalia kushoto sana aisee. Wana JF wenzangu mnaonaje, hivi mjengo huu unaweza kuisha kwa mwezi mmoja uliobaki kweli?
Maanake kuishi mbali na nyumbani kwa muda mrefu nako kunachosha.View attachment 2400496View attachment 2400497
Kampuni za ujenzi mbona zipo una sainiana mikataba tu unawapa chao.Usije tuma tena pesa kwa ndugu zako,Ni heri uje mwenyewe ukiwa na hela zako usimamie ujenzi mwenyewe.wabongo kwenye uaminifu wa hela ni 0%
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wanachoma moto wabongo kule. Kalime nyanya Ilula.Mkuu tupe connection huko kaburu, passport zipo tayari. Niandae kiasi gani ili niweze kufika nakusaka tonge huko?
Huyo atakuwa mhayaKulikuwa na haja kutupiako picha ya mjengo wangu humu?
Wenyewe hawataki wageni, mtaelewa lini hili somo?Mkuu tupe connection huko kaburu, passport zipo tayari. Niandae kiasi gani ili niweze kufika nakusaka tonge huko?
Mkuu kama hutojali, badala ya kuwalaumu ndugu humu ambao hawawezi kujitetea, hebu fanya quick estimation utuambue mbaka hapo ilipofika umetumia sh ngapi ilitujue kama kweli umepigwa ama ni wasiwasitu.Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.