Ukiwa safarini ni jambo gani huwa hupendi litokee katika safari yako?

Kusafiri kwenye chombo halafu watu wawe wanaongea kwa sauti ya juu,napenda kwenye safari kuwe na utulivu na kila mtu a mind his own business,

Siku nikipanda Ndege nitaleta mrejesho,kitu gani sipendi nikisafiri kwa ndege,mods msifute hii thd mpaka nipande Ndege ili nichangie uzi.
 
Kusafiri na mtu anayekulakula ovyo , kutemetema mate / kutapika bila utaratibu. Mtu anajua akisafiri anatapika, Cha kushangaza anasafiri bila mifuko ya kutapikia arrrrrrrrrgh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…