Ukiwa safarini ni jambo gani huwa hupendi litokee katika safari yako?

sipendi kukaa siti ya watu wa3, sipendi zaidi kukaa pembeni ya abiria ambae mdomo umechangamka kwa harufu kali na nzito sana halafu ndio mzungumzaji mkuu lakini pia akisinzia mdomo u-wazi unatiririsha udenda. nakuaga makini asisinzie begani na udenda wake
 
Kusafiri kwenye chombo halafu watu wawe wanaongea kwa sauti ya juu,napenda kwenye safari kuwe na utulivu na kila mtu a mind his own business,

Siku nikipanda Ndege nitaleta mrejesho,kitu gani sipendi nikisafiri kwa ndege,mods msifute hii thd mpaka nipande Ndege ili nichangie uzi.
Wewe si ndo ulisema uko njee ya nchi?
 
sipendi kukaa siti ya watu wa3, sipendi zaidi kukaa pembeni ya abiria ambae mdomo umechangamka kwa harufu kali na nzito sana halafu ndio mzungumzaji mkuu lakini pia akisinzia mdomo u-wazi unatiririsha udenda. nakuaga makini asisinzie begani na udenda wake
Ahahahhahaahhahahahah dah et mzungumzaji mkuu anaongea af anakuangaliaa uchangie kitu
 
Naudhika sana Mwanaune akikaa siti moja kwenye basi au ndege na mwanamke kidume kusogeza sogeza kimkono chake kugusa gusa mapaja ya mwanamke kinaacha kuegemra huko kinaforce kuegemea upande wa meanamke

Kila mtu anatakiwa awe free kwenye space ya kiti chake .Ukitaka kuegemea kama uko dirishani egemea upande wa dirisha sio upande wa mwanamke na ukikaa siti.isiyo ya Dirishani egemea upande wa corridor ya basi usiegemee upande wa mwanamke hata kama una usingizi vipi .Peleka bichwa lako huko na kimkono chako huko

Mnanisikia wanaume wakware mnaopanda mabasi na ndege na kukaa siti moja na wanawake?
 
Ahahahhahaahhahahahah dah et mzungumzaji mkuu anaongea af anakuangaliaa uchangie kitu
🤓🤓acha kabisa hii kitu ni ngumu unatamani kununua maybe mahindi kuchoma au karanga au mishkaki unajikuta unasita ukifiria ile carbon dioxide. Then unaamua kununua bigG unampa na yeye kutuliza ghasia na mchafuko wa hali ya hewa
 
Naudhika sana Mwanaune akikaa siti moja kwenye basi au ndege na mwanamke kidume kusogeza sogeza kimkono chake kugusa gusa mapaja ya mwanamke kinaacha kuegemra huko kinaforce kuegemea upande wa meanamke

Kila mtu anatakiwa awe free kwenye space ya kiti chake .Ukitaka kuegemea kama uko dirishani egemea upande wa dirisha sio upande wa mwanamke na ukikaa siti.isiyo ya Dirishani egemea upande wa corridor ya basi usiegemee upande wa mwanamke hata kama una usingizi vipi .Peleka bichwa lako huko na kimkono chako huko

Mnanisikia wanaume awkward.mnaopanda mabasi na ndege na kukaa siti moja na wanawake?
😂😂dah yaani anaforce kukuegemea?
 
Kabisa ,sema Wazungu wanajielewa

Kwenye sitting manners kwenye ndege na basi ila midume miswahili mingi hopeless kabisa.Sitting manners wako zero kwenye basi na ndege
hawajivungi kuegemea 😂
 
Back
Top Bottom