Wewe si ndo ulisema uko njee ya nchi?Kusafiri kwenye chombo halafu watu wawe wanaongea kwa sauti ya juu,napenda kwenye safari kuwe na utulivu na kila mtu a mind his own business,
Siku nikipanda Ndege nitaleta mrejesho,kitu gani sipendi nikisafiri kwa ndege,mods msifute hii thd mpaka nipande Ndege ili nichangie uzi.
Ahahahhahaahhahahahah dah et mzungumzaji mkuu anaongea af anakuangaliaa uchangie kitusipendi kukaa siti ya watu wa3, sipendi zaidi kukaa pembeni ya abiria ambae mdomo umechangamka kwa harufu kali na nzito sana halafu ndio mzungumzaji mkuu lakini pia akisinzia mdomo u-wazi unatiririsha udenda. nakuaga makini asisinzie begani na udenda wake
Mkuu huii ni JF usichukulie serious kila comment,halafu kwenda nje kwani ni lazima uende na Ndege?Wewe si ndo ulisema uko njee ya nchi?
π€π€acha kabisa hii kitu ni ngumu unatamani kununua maybe mahindi kuchoma au karanga au mishkaki unajikuta unasita ukifiria ile carbon dioxide. Then unaamua kununua bigG unampa na yeye kutuliza ghasia na mchafuko wa hali ya hewaAhahahhahaahhahahahah dah et mzungumzaji mkuu anaongea af anakuangaliaa uchangie kitu
Yeah labda yupo malawi, Zambia,Rwanda nchi kunakofikiwa na taqwa au falcon!!!Wewe si ndo ulisema uko njee ya nchi?
ππdah yaani anaforce kukuegemea?Naudhika sana Mwanaune akikaa siti moja kwenye basi au ndege na mwanamke kidume kusogeza sogeza kimkono chake kugusa gusa mapaja ya mwanamke kinaacha kuegemra huko kinaforce kuegemea upande wa meanamke
Kila mtu anatakiwa awe free kwenye space ya kiti chake .Ukitaka kuegemea kama uko dirishani egemea upande wa dirisha sio upande wa mwanamke na ukikaa siti.isiyo ya Dirishani egemea upande wa corridor ya basi usiegemee upande wa mwanamke hata kama una usingizi vipi .Peleka bichwa lako huko na kimkono chako huko
Mnanisikia wanaume awkward.mnaopanda mabasi na ndege na kukaa siti moja na wanawake?
Kabisa ,sema Wazungu wanajielewaππdah yaani anaforce kukuegemea?
hawajivungi kuegemea πKabisa ,sema Wazungu wanajielewa
Kwenye sitting manners kwenye ndege na basi ila midume miswahili mingi hopeless kabisa.Sitting manners wako zero kwenye basi na ndege
[emoji23][emoji23]Sipendi kukaa siti moja na mwanaume asie vutia. Nakwazika
Anatuchanganyia mada eeh π πWewe si ndo ulisema uko njee ya nchi
Au usikute alitumia majiWewe si ndo ulisema uko njee ya nchi?
Inanoga sana ukikaa na mwanume ana vutia, ana nukia na anaongea kwa kiasi.[emoji23][emoji23]
AhahahahhaAu usikute alitumia maji
Safari inakuwa haichoshi ,huboreki na unatamani iendeleeInanoga sana ukikaa na mwanume ana vutia, ana nukia na anaongea kwa kiasi.