Ukiwa safarini ni jambo gani huwa hupendi litokee katika safari yako?

Vipi na mwanamke kumuegemea mwanaume ๐Ÿ˜‚
 
Sipendi mtu anakaa seat ya dirishani halafu hataki kufungua kioo
Mimi pia napenda hewa iingie dirisha liwe wazi hewa fresh iingie jitu lililokaa dirishani linafunga

Mtu.kama ana changamoto za kiafya kuwa upepo kwake unampa changamoto kiafya aache kukaa siti.ya dirishani apishe wenye afya zao.wakae hizo seat
 
Mimi pia napenda hewa iingie dirisha liwe wazi hewa fresh iingie jitu lililokaa dirishani linafunga

Mtu.kama ana changamoto za kiafya kuwa upepo kwake unampa changamoto kiafya aache kukaa siti.ya dirishani apishe wenye afya zao.wakae hizo seat
Kiufup atafute namna ya kusafiri maana hata akikaa pembeni kikifunguliwa kioo mwendo ni ule ule ๐Ÿ˜…
 
Sipendi kabisa kukaa na mtu hasa wa jinsia moja na mimi na ikiwa wa jinsia tofauti basi awe analika sio mbibi au mshangazi.

Mara nyingi nikisafiri safari ambazo nauli zake sio ghali huwa nakata siti mbili ili tu nikae peke yangu. Japo kuna mijitu unaweza hata kugombana nayo ukiilewesha kuwa umelipia siti zote 2.
 
Wachache sana wenye hiyo tabia

Asilimia kubwa wenye hiyo tabia mbaya ni wanaume
Wachache katika wengi ila hata kwa wanaume pia ni wachache katika wengi vile vile (win to win situation)
 
Wanawake ndio wanatabia hii ya kutuegemea sisi wanaume, utaona mdada ananiegemea mpaka kifuani. Wanawake acheni tabia hii
 
Hao wa kusinzia ndio mmoja alijamba tupo kwenye IT na madirisha tumefunga,mbaya zaidi alikuwa nav
demu wake mule, demu akamuamsha๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€mlimuasha wa ninii
 
Sipendi kuona dereva anaendesha polepole kama utafikiri trekta, Uzuri wa safari gari itembee haswaaa! Sipendi kukaguliwa tiketi kila wakati. NIKIPANDA DENGE NITAKUJA KUTOA DUKUDUKU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ