Ukiwa single kazi sana kupata mpenzi mpya

Ukiwa huna mpenzi ni ngumu sana kupata mwengine hasa ukiwa kilaza
Habarini wadau
Tokea nimekuwa single imekuwa kazi kweli kupata mpenzi mpya, kila napojaribu naona bila bila bila bila
Tumia nguvu ya pesa wapi ila nilivyo kuwa na mpenzi wengi walinishobokea nikatulia.

Ila hawa alaaniwe alimpotosha sana Adam na delila alaniwe alimtesa sana Samson
 
Nilidhani nipo peke yangu. Nimebembeleza sn but ngoma nzito.

Sijui kwanini ipo hivi.

Juzi hapa nikajitoa mhanga nikamsimamisha binti njiani,nikaomba namba.Tukaanza kuelewana na chatting sana.Lakini kila nikimwambia njo tuongee tuelewane hapa home hataki, anazingua njoo uchukue ya vocha kanakuja mpaka nje.Twende out kanakubali,but kukamilisha mipango hadi ya kupeana tamu aisee kanasumbua na kushangaa kabisaaa.

Sasa nimaemua kufuta namba zake za simu na wadada wengine.Nimeamua kuishi na kujichinjia kuku na kula basi.
 
Hahahahahahah kuku watamu kuliko papuchi ama?
 
Jichanganye na watu na marafiki, nenda kanisani na ibada ikiisha usiondoke haraka haraka zuga zuga kidogo upige stori na watu

Ukiona bado mambo magumu mwambie shangazi au mjomba wako watakupa mke muda wowote utakapohitaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona nilishasemaga jamani.Ila nataka MTU wa MAANA.
WA maana ndiyo yupoje?

Kama una kazi yako au biashara yako tayari basi punguza masharti siyo lazima awe mtu wa maana sana leo huwezijua ya Mungu ni mengi huyo unayemuona wa kawaida leo miaka mitatu au mitano ijayo anaweza kuwa wa maana sana
 
Kwani nikisema wa maanaa wewe unaelewaje?
 
Back
Top Bottom