Ukiwa single kazi sana kupata mpenzi mpya

Bidhaa inayopendwa sana na watu sokoni ndiyo inayozidi nunulika hatakama hiyo bidhaa sio nzuri kuliko zingine, people do this out of curiosity waone Kwann wengi wanaitaka.

Sasa wewe hata mpenzi mmoja huna unataka upate wengine, mwenye nacho anaongezewa and kinyume yake
 
Unatala mpenzi wa kudumu? Pole sana. Ww tumia tu pessa upate papuchi unavyoihitaji. Mpenzi wa kudumu siku izi hakuna
 
Nakubaliana na ww Kwa asilimia 💯 Ila tofauti mm ni ke
 
Kupata mtu au kitu ni rahisi kama utamaster njia Fulani. Pia ni ngumu sana kama hutamaster vitu Fulani.

Attitude na mindset ni maamuzi ya Kila kitu. Jitengenezee na ufuate na sio lazima ifanane na mtu mwingine. Hiyo ndio confidence.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi mwishon unachekesha sana laana km zote kazi ipo kubwa
 
Mara nyingi sana kwenye mahusiano MTU huumizwa kipindi kibaya ,kipindi ambacho itauma zaidi.

Few years back nilipitia maumivu makali sana kwenye maisha ya mahusiano...ilikuwa haina tofauti na ukisimama nchale ,ukikaa nchale ,ukichuchumaa nchale, ukikimbia nchale..... Sasa katika hali hiyo huwezi kufanikisha kupata mapenzi mapya ya kukuridhisha
 
Tuko wote ..

Mie Hadi kutolewa out wanakataa....

Sema Hawa wanawake wamenizungusha Sana. Nahisi nitakuja kuwa womanizer mzr tu mbeleni...
 
Tafuta dem mnyonge mnyonge umbake [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…