Ukiwa single kazi sana kupata mpenzi mpya

[emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana, juzi kuna kidemu kimeninyima namba na ndinga anaiona.. nimeshangaa sana
Hajataka kuonekana mtumba (cheap).
Alikuwa anaplay "Hard to get" kwa hiyo ungemkazia ungeondoka na namba. Lakini amini usiamini, pesa na mali ndiyo nusu ya ufalme wa mwanaume kwenye mahusiano.
 
Wapenzi mwenyewe ndio hao hao Malaya tu, unamtongoza mchana , usiku anakua haeleweki kabisaaa, fulu kudanga
Mwanamke akiridhika na shoo kali anatulia. Mwanamke ambaye hajatulia hajapata tu wa kumtuliza.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana, juzi kuna kidemu kimeninyima namba na ndinga anaiona.. nimeshangaa sana
wew itakuwa una matatizo yako,

rudi kijijin kwenu ulikokimbia bila kuaga vzur, huenda wazee wako hawakukumwagia mibaraka ndiomaana unazingua zingua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

rudi kwenu na vijizawadi kawaangukie goti wazee wako, then nenda sas mjini, iyo nyomi ya pisikali itakayo fulika hapo mageton kwako na huko inbox hakika utakuja kunishukuru,

pia usisahau kuniletea shukrani Mpesa/tigopesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha sawa mkuu.. hii desemba acha nirudi kijijini kwanza [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Zambi ya uzinzi haijawahi kuwa na faida yoyote ni jambo jema akatumia muda wake kumpata mwanamke mmoja wa kutulia naye
 
hahahah
 
Ugumu unatokana na akili kufikiria kuanza kuukataa uhuru unaokua nao ili kujipeleka kifungoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…