Nimecheka sanaa aisee hii kitu ya kujaribu kabisaFanya Practical ewe mwenye gari:
Nunua Chocolate ama biscuits kidogo zipake pilipili kichaa za kutosha nenda nazo car wash, ziache kwenye gari halafu uone hao TUMBILI wadokozi watakavyolia na kusaga meno..
Hutaua ila utawakomesha!
Baadae waambie zilikua za kutegemea panya nyumbani
Walimpeleka hospital maana alitapika sana na kuishiwa nguvu.ikawaje mkuu
Ukiwa Safarini huwez jua sehem ipi ni sahihi au la..Nenda sehemu sahihi na siyo kila car wash ni car wash
Ova
Huoni kama unaharibu gari..? Matope si mazuri kwa afya ya gari hasa huko uvunguni..Namshukuru sana Mungu kwa kunipa upekee!Mimi gari nalioshea nyumbani na fundi wa kutengeneza ni nyumbani,nikisafiri linabaki na tope hadi nirudi nyumbani.
Jamaa anajifanya kachanganyikiwa eeππNi katika kukumbushana
Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi
huyo jamaa anapata kichaa cha nini wakati gari ina comprehensive insuranceMengi yana bima za mazabe usione yanatembea barabarani mengi yanabima famba. Kua uyaone mwanangu.www.jamiiforums.com
Hapo mwanzo nilidhani mpwa anajifanyisha kumbe hapana ndiyo kilema chake bwanaπmkuu una andika aiseeπ€
Hapo mwanzo nilidhani mpwa anajifanyisha kumbe hapana ndiyo kilema chake bwanaπmkuu una andika aiseeπ€
Sema nini mwamba ana madini sanaπHapo mwanzo nilidhani mpwa anajifanyisha kumbe hapana ndiyo kilema chake bwana
Unaosha wapi Mkuu.. nije na mmUnaosha magari kwa watu oya oya, wenzio tunaosha magari sehemu classic na muoshaji unamwacha na laki 1
Mpwa Yuko hivyo japo ndiyo vile wanasema Mungu akikupa kilema anakupa na mwendo .Sema nini mwamba ana madini sanaπ
Ukiwa Safarini unafanyaje? Au utakuw unarud nyumbani kuosha then unaendelea na Safari ikichafuka unarudi tena.Gari oshea nyumbani.
nda kuliosha tu usitishike sana ππUnagari
Inawezekana kabisa..mazoez ya wekend ayohaya wenye magari yenu hivi haiwezekani kuosha gari nyumbani?
πππππππ dear future husbae nunua gari ntakua nakuoshea weekendπInawezekana kabisa..mazoez ya wekend ayo
Yenye hadhi ndo yapi hayo?TAfuteni magari yenye hadhi