Ukiwa umeenda kuosha gari zingatia haya

Wanaiba spana, wananyofoa sana vipira vidogovidogo halafu siku nyingine wanakuuzia
 
Ahsante sana mleta mada
Na mimi kwa mwaka huu 2024 ntaendelea kuwa makini kuhakikisha hamna kitu kinaibwa kwenye Boxer 150x yangu ikienda kuoga.

Naipenda sana ๐Ÿ˜Š
 
Kiafrika tujichunguze sana, magari yetu ni ya thamani kubwa sana lakini waoshaji tunaowapelekea na ujira tunaotoa sio afiki kwa hiyo wewe mmiliki ni lazima uwe sadaka kwa bidhaa ndogo ndogo zitakazokutwa kwa gari yako, dhamana ya Mali zilizoko kwa gari nashauri Iwe ni jukumu LA mmiliki Wa gari husika. Tufikirie sana hili kuepuka lawama kwa vijana hawa wasio na uelewa Wa kutosha kuhusu usalama Wa magari yetu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nikinunua ntajaribu

kwema tu ndugu yangu sijui wewe
Kumbe huna gari ndo maana unasema tuoshee nyumbani๐Ÿคฃ

Utakuwa ndo wqna jf pekee ambae huna gari๐Ÿ˜‚

MImi niko salama kabisa ndugu yangu kipenzi mzuri

KARIBU
 
Beats by Dre
 
plan nyingine:
Nunua Juice ya Embe tu hata zile za Jero jero, tafuta pilipili kichaa zile za Unga.

Zijaze humo kisha tikisa vizuri ili ichanganyikane

kisha waachie watoto wa mama ntilie humo kwenye HILUX yako wamwagilie moyo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ