Ukiwa umeenda kuosha gari zingatia haya


Uandishi mwingine bwana, kama mtu aliyekula kitu cha Arusha...
 
Wengine wajanja hela hawagusi.. wao wanadeal na vitu ambavyo ww kivyovyote kujua itakuchukua muda sana.. mfn una flash drives nyingi ktk gari na sehem uliyoweka inaonyesha hujapagusa siku nyingi au hauna access napo mara kwa mara.. lazima apite nayo.
Kuna wangese walipita na cologne yangu Dunhill Pursuit. Iliniuma sana ilikuwa 100ml 3/4 full.
 
Andikka vizuri
 
Umepigaje hapo!!
beats or bites!
 
Kuna Kambi Moja mashambani huko handeni, jamaa walikuwa Kila mara wanaenda Kambi ya jirani kuiba unga wa ugali maana msimamizi mlevi mlevi tu.
Mlevi akashauriana na walevi wenzie JINSI anaibiwa unga wake wakamshauri aweke simu ya panya then yeye msosi akawa anakula kijiweni..... Siku tatu nyingi wale waizi waliharisha nusu kifo... Na mwenyekiti akaitwa, wanaulizwa mmekula nini wanasema wameiba unga kwa Kambi ya jirani. Mlevi kuulizwa anasema yeye sumu alitegea panya maana wanamsumbua sana Kambini... Kesi ikwapi hapo?
 
Unashangaa mtu gari yenyewe Ist anataka akaioshe Car wash, si akaoshee nyumbani kwake kwenye beseni (In Mpoki's voice)
 
Pimbi yule aliniibia shuka la kimasai wkt na tip nilikua namuachia Na nikaja kukutana nae ziwa duluti amelivaa.
 

Kwa mtu Kama Mimi na Brand yangu nikienda kwa car wash, na respect my home boy waliyonayo kwangu Sijawahi Kuwa na wasiwasi, they treat me with absolute respect!

Mjini lazima Uwe na watu ambao wanatahisisha Maisha yako na sio uishi kwa wasiwasi kila, labda kwa nyie waajiriwe, kwa sisi watafuta Pesa tunaitaji akili na ubunifu watu kwenye mambo ya msingi ya kimaisha!

Naweza enda Car wash naongea na simu, nikashuka gari inanguruma Bado, nikachukua taxi Bado naongea na simu, hata maagizo Sijaacha, baadae naambie Bocy tukuletee au unakuja!?
 
hilo la kujifanya wao wadereva ndio kwa vigar vya auto. ukienda na manual uwe mwangalifu. na kupiga pressure maji wao akishawasha ile mashine hajui sehem ya ku adjust wametutia hasara rrang ikavimba ikabid ikakwanguliwe bonet zima. hata wale vijana wa electric wanapenda kufungua sensor na kuziiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…